Dark days 17/03/20...

".....Tumekula mno maisha......"

Huu ni uongo mkubwa sana ambao mnatumia kuwaongopea watu wajinga wajinga. Maisha ya watanzania 50% kwa miaka mingi mno ni maskini wa kutupwa ambao hawapati milo mitatu

Rudi kwenye hiko kipindi unachosema alafu kaangalie report za uchumi za hapa kwetu na world bank uone watanzania wangapi walishinwa kula milo.mitatu.

Msifanye watu wendawazimu, raha unazopata wewe unataka kujumlisha na wengine. Mimi sijawahi kuwa na life gumu lakini nimefanya projects nyingi mikoa tofauti. Sithubutu kusema watanzania walikua wanakula bata. Labda kama unafanya utafiti kidimbwi, kitambaa cheupe
 
Afro shiraz party ndiyo chanzo cha weze la ayatolla. Ukichimba huko wese panachimbika na wale wazee wa sushi ndiyo chanzo cha mafuta ya johari. Very complicated, late CEO alitaka afro shiraz party mapato ya johari na wachimbe wese duh killer wapo wengi yaani unakufa kwa kudai haki yako
 
Hiyo ilinipita nikiwa naandaa wali wa wateja wangu mi mama ntilie

Sasa umeshaipata. Ni reliabke source hii.
Nilivyoeleza ndivyo alivyosema.

Aliyasema hayo maana late CEO alikuwa anatisha kweli kweli, alikuwa akideal nao vizuri. 2nd CEO akaona isiwe taabu akajitokeza hadharani akajiengua huko kwenye upande aliowekwa pichani. Hakutaka kuhusishwa kabisaa, maana late CEO angemjumlisha ni miongoni mwao.
 
duhh sawa mkuu nimepata picha .....kwa hiyo kumbe PK siyo wa kumpuuza ni wa kuwa nae siriaz ...

Kabisa mkuu. Tena veri siriazi kabsaaa. Jamaa anaitamani sana hii kampuni sana huu ujio ujio wake anapiga project zake za jinsi atapapata kule BKB.

Ila dipu stefi wanataka kumuondosha BT na washirika wake, kisha afuate PK. Ila napata picha, jinsi BT alivyo na nguvu ambayo sio ya kuichukulia poa. Kwa sababu team tatu zinamuwinda yeye, ndani ya kampuni zipo mbili na nje ya kampuni moja ambayo lida ni PK.
 
Halo BT tumpe maua yake ujue PAKA angechekewa angeanza kutusumbua sumbua ka vile anavoisumbua Bukavu hakutawaliki

Clean.

Nipo upande wa BT anavyodeal na PK, napenda haswaaa. Maana PK anamjua BT ni master mind, na hamwezi hata kidgo. More than 15+ years anamvizia BT na kumuundia timu za kudeal naye ambazo ndani ya kampuni zina nguvu ila ndio hivyo hatoboi.

Kweli as you said, PK sio wa kumchekea hata kidgo yule wa kudeal naye sahani moja. Anachofanya bakavu asituleter na huku.

Sema nini, dipu steti wanashindwa kuungana na BT kumuondoa PK, wanajua wakifanikiwa hakuna wa kumsumbua BT kichwa hivyo ataiweza kiwepesi dipu steti kudeal nayo.

Ndio maana moja ya episode, inaonesha MZEE akimwambia current CEO, waungane na late CEO fans, pamoja na PK wamuangushe BT kisha wamuangushe PK kisha kitabu kiandikwe kampuni ianze kama kwa upya.

Aisee hapa utaona how BT is a BIG SHARK in the Ocean. Wamejaribu mara kadhaa wamemshindwa ikiwemo late CEO ndipo BT akaona eh nikicheza nawaishwa mie, akamtanguliza. Ndipo akadhoofisha akina wafuasi wake.

Kamuwaisha BMW, akawafuata waaminiwa wa late CEO, kisha late CEO mwenyewe.

BT[emoji91][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]. Huko kambini kuna waka moto, hapakaliki.

Ila BT bwana yule, angekubali tu cake ya taifa iliwe na wengine kama kipindi cha utawala wake. Tungemmwagia maua yake.
 
Kwani BT si member wa dipu stefi? Km sivyo inawezekanaje asiwe sehemu ya dipu stefi wakati amewahi kuwa CEO wa kampuni?
 
Duh aisee
 
Wajerumani nchi hii hawajafanikiwa kuwekeza rasilimali nyingi ni Us Uk Fr
 

Sure.

Ukimya wa mzee fursa, na kutotaka kuendelea kuwa serikalini kumemuepesha mengi..!! Labda ukute anawapeleka kimya kimya, kwa sababu sio rahisi kuiacha kampuni 100%
 
Hapa ndo namkubali BT, alimbana muhuni PK kule poli la Kimisi, Biharamuro na poli la Kibondo akawa na adabu. Lakini tukubali pamoja na mambo mengine heri ya BT ametuepusha na mpango wa HIMA EMPIRE pia, tungekoma.

Kabisa. Apewe Heshima yake kwa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…