Inaleta picha! Vipi ujio wake wa juzi na yanayo endelea hapa sasahivi, kuna muingiliano wowote wa athari za harufu yake kwa haya yanayoendelea!!?
Hi guys!! [emoji102]
MmmmmmmmmhBt analindwa na mashirika ya kijasusi ya nje!pia analindwa kiroho na yale maruhani ya kijini NDANI yake!
Huyo jamaa atakufa natural death !hapo alipo anajua fate ya hatma ya maisha yake hata idadi ya miaka atakayoishi!!
Kuna kamera na vipo vyenye uwezo wa kutazama HADI uzee wa mtu!
Msicheze na elimu ya falaki wakuu ni hatari SANA!
Hapo alipo amemeza hadi hazina,ILI afe lazima aitapike ndio afe !sio kitoto hiyo!!
Acha niishie hapa kwa leo!!
Kwani BT si member wa dipu stefi? Km sivyo inawezekanaje asiwe sehemu ya dipu stefi wakati amewahi kuwa CEO wa kampuni?
Kama Riwaya za Willy Gamba.Kikosi cha kisasi.hii sasa ni chai tena isiyo na sukari
Sasha asiwepo tu[emoji2969]Ngumu sana kutenganisha na yaendeleayo.
Kuna vita inapiganwa huko nje ya camera kubwa sana tena sana. Vikao vinapigwa sana kwa sasa, mipango inasukwa kisawa sawa.
Tutasikia tu bendera nusu mlingoti. Pamoja na yote kama current CEO karatibu mambo haya kwa kushirikiana na PK na mzee na fans wa late CEO. Naona huruma juu yake.
BT ni mtu mwingine akiguswa mambo yake muhimu. Kama sio BT kamuondoa dodo ni wapinzani basi wajiandae, maana BT yupo smart kwenye hizi mission.
yoga mama, i do miss you a lot siku ukipata muda uje unipe tu like hapa basi inatosha.Hi guys!! [emoji102]
Hakuna cha falaki wala lafaki umri wa mtu ni siri ya muumba hata malaika wa kutoa roho mwenyewe hajui mwisho wa mtu mpaka siku ifike, story za kina forojo ganze zisikufanye usichanganye na zako mkuu, hao majini wenyewe hawajui siku yao ya kufa, usiharibu uzi wa watu.Nikupe namba za mtaalam umtafute akuchane hadi idadi ya watoto utakaozaa HADI idadi ya wake utakao oa!!?
Majini wanajua hiyo ishu mkuu,falaki unajua sana iila kitu!kama hujui vizuri muulize mama maria nyerere KWANINI mume wake ALIKUTA akiwa na miaka 77 atakuambia KWA kina kwamba mwenge ulikula miaka ya maisha yake ndio akaishia hapo japo alitamani zaidi!
Source hapa hapa jf!!uzi wa mshanar kuhusu mwenge wa uhuru na siri ya namba 115 kwenye kiganja cha forojo ganze mkono wa kushoto!!
Niishie hapo mkuu!
Hakuna mwanadamu ajuae siku za maisha yake.
Jamaa anataka kuharibu uzi.Asee mmehamia kwenye shirki tena?
Kwenye uzi huu hii comment nimeielewa Sana.Combination yenye influence kwenye nchi za kiafrika huwa ni former colonial masters, the USA, and the influential religious group. Sometimes nchi za kiafrika zinaweza kuwa na vipindi vya uhusiano wa karibu na Uchina, Urusi, na nchi za Uarabuni. Lakini uhusiano huu sio wa muda mrefu kama uhusiano wao na former colonial masters, the USA, and the influential religious group.
Kwa Tanzania, former colonial master ni UK. So UK (especially Labour Party na Fabian Society), wana influence. Wamarekani (zamani Democrats, na kwa sasa hivi Republicans pia) wana influence, na Vatican wana influence. Wajerumani wanajaribu kuwa na influence, lakini the Anglo-Vatican-USA group wanawa limit. Tatizo la Ujerumani sometimes ni uimla na ubaguzi. Tatizo la Anglo-Vatican-USA group ni kwamba sera zao zimeshindwa kuwainua watanzania walio wengi kutoka kwenye umasikini. Anglo-Vatican-USA group, nao pia sometimes kwenye anga zao wana uimla na ubaguzi.
Deputy CEO (au mtu wa aina yake) anaonekana ndie candidate wa the Anglo-Vatican-USA group. Deputy CEO ni mkatoliki, na kwenye familia yake kuna waanglikana (wanaopenda ukatoliki), alifanya kazi World Bank, na anajinasibu kuwa anapenda wanyonge. Mataifa ya Rwanda, Burundi na Uganda, huenda pia yanampenda deputy CEO. Waprotestanti wanaopenda ukatoliki huwa wanawaungaga mkono the Anglo-Vatican-USA group.
Washindani wa the Anglo-Vatican-USA group in Tanzania, ni makabila yenye madhehebu ya kijerumani, na yenye madhehebu ya kipentekoste, na waanglikana wasiopenda kuwa karibu na Vatican, na watu wenye siasa za mrengo wa kati au na mrengo wa kulia, na watu wa mrengo wa kushoto, wanao ona kwamba siasa za kutetea wanyonge haziwatetei vizuri ipasavyo.
Marais wote tuliowapata tangu uhuru (including marais waislamu) huwa wanakuwa ni watu wa the Anglo-Vatican-USA group. Tangu uhuru, Tanzania, haijawahi kuwa na rais mprotestanti. Kama ikija kutokea, basi kuna uwezekano mkubwa, rais huyo akawa na sera hizo hizo za kundi la Anglo-Vatican-USA.
Note that over the years wanasiasa wa Tanzania wa kambi ya the Anglo-Vatican-USA group, wame compromise (na kuamua kuimprove) sera zao, na wameanza kupenda elimu ya sekondari (walikuwa wanapenda elimu ya msingi na VETA), wameanza kuruhusu wafanyabiashara weusi wazawa, wamefanya some decentralisation.
Born Town yuko kwenye kundi moja na ceo mstaafu wa kampuni kubwa kabisa ya afrika magharibi ambae zamani alikuwa mwanajeshi, pamoja na ceo mtendaji wa zamani wa kampuni moja ya Ulaya, ambayo zamani ilitawala kampuni ya Born Town, pamoja na ceo wa zamani wa kampuni kubwa kabisa duniani (na team yake, na marafiki zake). Born Town kwa sasa anaonekana ndie agent mkuu wa Anglo-Vatican-USA kwenye kampuni yake.
Umuhimu wa Tanzania strategically:
1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto White Nile yanategemea ziwa hilo. Pia mto Kagera unao ingia ziwa Viktoria unapitia Tanzania. Zanzibar iko TZ (muhimu kwa wa oman). Na kuna kipindi waarabu walitawala mwambao wa Tanzania. Ni nchi muhimu pia kwa wa Israeli wanapo taka ku balance Arab influence.
2) Ni nchi muhimu kwa mataifa ya Kiislamu kwasababu ni nchi yenye Waislamu wengi kuliko nchi yeyote Afrika Kusini mwa equator. 20% - 30% ya waTZ ni Waislamu.
3) Ni nchi muhimu kwa wakatoliki wanaozungumza Kiingereza (wakatoliki wa anglo-saxons na wairish). Kwa sababu ni nchi ya pili afrika kuwa na wakatoliki wengi (kwenye nchi za Africa zinazozungumza kiingereza). 30% - 40% ya waTZ ni wakatoliki.
4) Ni nchi muhimu kwa Walutheri wa Ujerumani, scandanavia, USA na kwingineko. Kwasababu Tanzania inaongoza Africa kwa kuwa na idadi kubwa ya walutheri. 30% - 40% ya waTZ ni waprotestanti. Na Walutheri ndio dhehebu lenye waumini wengi kuliko madhehebu mengine ya Kiprotestanti TZ. Ni nchi muhimu pia kwa madhehebu ya Kikristo yenye asili ya Marekani.
5) Kutokana na its location and population kubwa, ni nchi muhimu geo-politically. Kwa global super power na continental powers kama wamarekani na wachina. Vile vile ni nchi muhimu kutokana na its past military interventions. Pia ni nchi muhimu kwa UK and Germany as hawa walikua wakoloni wa Tanzania.
6) Kutokana na its abundant natural resources na population kubwa, ni nchi muhimu kwa economic powers kama USA, Russia, China, India, UK, Japan, Germany.
7) Ni nchi muhimu kwa watu waliompenda Nyerere. May be ni muhimu pia kwa watu waliomchukia Nyerere.
8) TZ ni muhimu kwa waTZ wenyewe since ni nyumbani kwao.
9) TZ ni muhimu kwa wanamazingira wa dunia as ina abundant plant life and animal life e.g. wanyamapori wengi, misitu ya asili, Milima etc.
10) Since TZ kuna wanadamu na wanyama, TZ ni nchi muhimu pia kwa Mungu (kama ilivyo nchi nyingine). So TZ (kama ilivyo nchi nyingine) kuna mivutano ya kiroho baina ya Mungu na Shetani.
Maelezo kidogoKuna kitu umekiacha. Ni chanzo cha utajiri wa Iran na mataifa mengine ya kiarabu.
Nchi hii ni tajiri sana, tajiri sana yaani!Namba 6; abundant natural resources.
This includes wildlife, timber, minerals, natural gas (and may be oil) etc.
Tanzania ina 55 trillion cubic feet of natural gas. Mozambique ina 100 trillion cubic feet of natural gas.
Key players in Tanzania, ni Royal Dutch Shell (huenda royal families za UK, na Uholanzi wana hisa kiasi fulani humo), Statoil (sasa Equinor, hawa ni Norway, huenda royal family ya Norway wana hisa kiasi fulani humo), ExxonMobil (hawa ni wamarekani). Puma (formerly BP, hawa ni waingereza) wana influence kwenye kuimport na kudistribute petroleum. Total (sasa TotalEnergies, hawa ni wafaransa), wanajenga bomba la mafuta kutoka Uganda. Wana import na kudistribute mafuta. Royal Dutch Shell na Puma (formerly BP) wana influence kubwa kwenye sector ya mafuta na gesi ya Nigeria.
Royal Dutch Shell wali inunua British Gas (on 15/2/2016), kwa hiyo, vitalu vyote vya gesi vya British Gas, vilivyokuwa Tanzania, sasa hivi ni vya Royal Dutch Shell.
Wajerumani walikuwa wanaimezea mate hii gesi ya Tanzania. Sasa hivi sehemu kubwa sana ya gesi ya Tanzania, iko mikononi mwa waingereza. Sidhani kama wajerumani wana kitu, labda kupitia hisa ndogo kwenye hayo makampuni mengine huko nchi za magharibi.
Waingereza waliogopa white hair atawapa gesi wenyeji au na atawapa share kubwa ya gesi wajerumani kuliko waingereza.
Late CEO alikuwa agent wa Anglo-Vatican-USA. Ali hitilafiana nao mbele ya safari.
Itoshe tu kusema bt ni kina kirefu.Clean.
Nipo upande wa BT anavyodeal na PK, napenda haswaaa. Maana PK anamjua BT ni master mind, na hamwezi hata kidgo. More than 15+ years anamvizia BT na kumuundia timu za kudeal naye ambazo ndani ya kampuni zina nguvu ila ndio hivyo hatoboi.
Kweli as you said, PK sio wa kumchekea hata kidgo yule wa kudeal naye sahani moja. Anachofanya bakavu asituleter na huku.
Sema nini, dipu steti wanashindwa kuungana na BT kumuondoa PK, wanajua wakifanikiwa hakuna wa kumsumbua BT kichwa hivyo ataiweza kiwepesi dipu steti kudeal nayo.
Ndio maana moja ya episode, inaonesha MZEE akimwambia current CEO, waungane na late CEO fans, pamoja na PK wamuangushe BT kisha wamuangushe PK kisha kitabu kiandikwe kampuni ianze kama kwa upya.
Aisee hapa utaona how BT is a BIG SHARK in the Ocean. Wamejaribu mara kadhaa wamemshindwa ikiwemo late CEO ndipo BT akaona eh nikicheza nawaishwa mie, akamtanguliza. Ndipo akadhoofisha akina wafuasi wake.
Kamuwaisha BMW, akawafuata waaminiwa wa late CEO, kisha late CEO mwenyewe.
BT[emoji91][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]. Huko kambini kuna waka moto, hapakaliki.
Ila BT bwana yule, angekubali tu cake ya taifa iliwe na wengine kama kipindi cha utawala wake. Tungemmwagia maua yake.
Huyu jamaa anaijua hii kampun nje ndaniItoshe tu kusema bt ni kina kirefu.
Nikikumbuka ile 95 wakati anakubali kiurahisi kumuachia nafasi bwm vile alivyo sema team zangu za kampeni zote ziwe timu za bmw!
Kumbe mwamba ako na team tokea enzi hizo, tena team za ushindi.
Angalikwei uzinduzi wa jengo la kampuni BT na current c.o kama hawako poa
Mbona inasemekana Ben ten aliondolewa na late CEO? Coz mtu mpekee anayemuheshimu na kumuogopa alikuwa ni Ben ten. Ben ten alikuwa akimkanya na kumkaripia kindakindaki late CEO.. So late akaona usiwe tabu ngoja atangulie then the next is TB...Clean.
Nipo upande wa BT anavyodeal na PK, napenda haswaaa. Maana PK anamjua BT ni master mind, na hamwezi hata kidgo. More than 15+ years anamvizia BT na kumuundia timu za kudeal naye ambazo ndani ya kampuni zina nguvu ila ndio hivyo hatoboi.
Kweli as you said, PK sio wa kumchekea hata kidgo yule wa kudeal naye sahani moja. Anachofanya bakavu asituleter na huku.
Sema nini, dipu steti wanashindwa kuungana na BT kumuondoa PK, wanajua wakifanikiwa hakuna wa kumsumbua BT kichwa hivyo ataiweza kiwepesi dipu steti kudeal nayo.
Ndio maana moja ya episode, inaonesha MZEE akimwambia current CEO, waungane na late CEO fans, pamoja na PK wamuangushe BT kisha wamuangushe PK kisha kitabu kiandikwe kampuni ianze kama kwa upya.
Aisee hapa utaona how BT is a BIG SHARK in the Ocean. Wamejaribu mara kadhaa wamemshindwa ikiwemo late CEO ndipo BT akaona eh nikicheza nawaishwa mie, akamtanguliza. Ndipo akadhoofisha akina wafuasi wake.
Kamuwaisha BMW, akawafuata waaminiwa wa late CEO, kisha late CEO mwenyewe.
BT[emoji91][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]. Huko kambini kuna waka moto, hapakaliki.
Ila BT bwana yule, angekubali tu cake ya taifa iliwe na wengine kama kipindi cha utawala wake. Tungemmwagia maua yake.
Pale ni live hawawezi leta kujuana wapo serious na kazi!Angalieni uzinduzi wa jengo la kampuni BT na current c.o kama hawako poa