Dark days 17/03/20...

Issue ya bandari unajiuliza hivi kweli kwenye hili taifa tuna deep state ambayo ni kwa ajili ya taifa?
Tuna usalama wa taifa wa aina gani?
Tuna Bunge la aina gani?
Hawa wote wanashindwa kutoa neno na kumkatalia kwenye hii issue ya Bandari?
 
Kinachofanya mpaka umepata fursa ya kujadili mada hii ni nani kama sio hao?
 
Kinachofanya mpaka umepata fursa ya kujadili mada hii ni nani kama sio hao?
Hapana bwana ifike hatua tukutane mambo ya ajabu. Hata kama unatutisha kuwa wao ndiyo wanatufanya tunaandika haya wanapokosea lazima waambiwe ukweli. Haiwezekani taifa linahujumiwa nyinyi kama organ ambayo ipo kwa ajili ya maslahi ya taifa lenu mpo tu. Kutulinda isiwe kigezo cha kuruhusu wahuni kuliibia taifa.
 
Hakika kabisa umenena
 
Disclose analysis, inaezekana wametafuta namna yakumuondoa huyu mama uchaguzi 2025 wakaona wamseti somewhere apoteze trust kwa chama na wananchi. Wame win 100%
Na mimi naona hivyo, mpaka hapa sijui hata kama kuna remedial tena....ni kupigwa KO kabisa...Masikini weweee...Naomba Mungu isiwe kapigwa na mafisadi ili tuendelee kuumia.
 
Wakati wewe unatamani wao kutumia physical force, wao wanatumia brains to set things na wakati mwingine unarushiwa kamba ujinyonge mwenyewe....I
 
Issue ya bandari unajiuliza hivi kweli kwenye hili taifa tuna deep state ambayo ni kwa ajili ya taifa?
Tuna usalama wa taifa wa aina gani?
Tuna Bunge la aina gani?
Hawa wote wanashindwa kutoa neno na kumkatalia kwenye hii issue ya Bandari?
Naamini Kuna jambo Lina au litafanyika. Sisi kama Watanzania tunavitegemea sana vyombo vya ulinzi na usalama. DG wa TISS na timu yake yote, IGP na timu yake yote, CDF na timu yake yote. Kama Hawa wote walioapa kulilinda Taifa hili mipaka yake na lasilimali zake wakikubali nchi hii ichezewe na watu kama wanavyotaka basi. Naamini Hawa watalitendea haki Taifa hili, Bado tuna Imani nao sana TU. Tunaomba watusaidie Kila kinachofanyika kiwe kwa maslahi mapana ya watanzania wote, si kwa kikundi Fulani TU cha watu wenye uchu na ulafi. TISS, JESHI LA POLISI NA JWTZ tunaomba muweke siasa pembeni mlisaidie Taifa,, sisi wananchi Bado tunawaamini.
 
Je CDF na timu yake, DG wa TISS na timu yake, IGP na timu yake wameona tatizo kwenye huu uwekezaji?
Na je wataangalia na kusimamia kiapo walichoapa juu ya kulinda taifa na mipaka yake pamoja na rasilimali zake au watakuwa wa kusema ndiyo kwa mamlaka iliyowateua?
Wakisimamia kiapo chao hakika watakuwa wamelitendea haki taifa na watakuwa wameonyesha uzalendo wa hali ya juu.
 
Hakuna kiapo kama hiko mzee. Unaapa mbele ya nani?
 
Wakati ni mwamuzi mzuri, ngoja tusubiri. Maana hata mambo yenyewe ni kama Bado Yako gizani. Lolote linaweza kutokea. Yawezekana hata tunavyolisikia jambo hili, sivyo lilivyo. Tuwaamini wako macho.
 
Issue ya bandari unajiuliza hivi kweli kwenye hili taifa tuna deep state ambayo ni kwa ajili ya taifa?
Tuna usalama wa taifa wa aina gani?
Tuna Bunge la aina gani?
Hawa wote wanashindwa kutoa neno na kumkatalia kwenye hii issue ya Bandari?
Kutoka chenji ya rada, kagoda,greenbank,Richmond,iptl, na mazagazaga mengine mpaka DPWorld....!!! Tukumbuke Kuna kiongozi mmoja wa Intel ya Taifa mojawapo kubwa alisema Intel Yao ufanya kazi na corrupt government vizuri sana!
 
Page namba moja na mbili mbona sioni?, Mwenye nazo naomba anitag 🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…