Dark days 17/03/20...

Mwanasiasa angekua ndo mnufaika mkubwa anamhitaji mfanya biashara wa Nini ? Angekomba kila kitu wafanyabiashara ndo wamewaweka hao wanasiasa apo ili wawatumie kwa maslahi yao .wanasiasa ni matajiri kwako wewe hoehae ila mbele ya matajiri hawana kitu hao ndo maana saivi wako machawa tu kulinda matumbo yao
Magufuri alimpora nani hela nyingi kisa kapewa? Au ni chuki yako tu
 
Haujaelewa Magufuli alifungia watu akaunti ambao ni wafanyabiashara wa kawaida. Kuna watu wana viwanda na mahoteli. Kuna watu wanafanya biashara pasipo kufanya kazi na serikali. Unaowaona matajiri wakubwa wa nchi hii hawaumizi vichwa. Hao matajiri wakubwa wamebebwa na serikali hadi na serikali ya Magufuli. Ninajua watu wambao wamepambana toka miaka hio mpaka wakatoboa. Kuna watu walianza na udereva taksi mpaka kumiliki biashara kubwa. JPM aliweka nguvu Sehemu ambayo sio. Aliwafungia watu akaunti zao na kuchota hela kibabe. Baada ya kuona hakuna hela ikabidi amfungulie kaka yake Rostam kesi ya ujangilj ili Rostam aje. Baada ya Rostam kufungua Taifa gas na kuanza kuuza gas Kenya,Uganda na Rwanda angalau akapata ahueni. Alivyofariki wafanyabaishara walipata ahueni. angalau. Wanasiasa unaowaita vibaraka wana mali kupitiliza hao wafanyabiashara. Tembea uone usijifungie na watu hao hao kila siku.

Hauwezi kuzuia ubepari mtu anapambania familia yake na watoto wake akifanikiwa unataka awe sawa na mtu mjinga na mvivu wa kufikiri.
 
Mnabishana nini humu?! Makonda alishamaliza kwa kusema Wafanyabiashara wanaichangia CCM sababu ya hofu. Hofu ya nini! wanaweza kufilisiwa saa yoyote. Hakuna aliyehuru nchi hii. Yani Rais anaweza kutishia benk na zikazuia account ya mtu bila sababu za msingi. CCM imejaa walarushwa na mafisadi na Wafanyabiashara wanalijua hilo hivyo wanaishi nao. Na ukifanikiwa kuishika serikali unasamehewa kodi bila utaratibu. Bandari kuna rushwa ya kufa mtu, unadhani hawajui?! Viongozi wa Serikali ambao ni CCM wanajua na wanashiriki wizi. CCM ni wezi tunahitaji mabadiliko.
 
Hivi wale wa TUHAME dar Mbona siwaoni Siku hizi na Sasa tunaelekea Mwezi wa nne na soon mwezi wa Tano wa sita na wa saba...

Kuamini kwenye Manabii ni sawa na kuamini Mganga wa kienyeji
Bado unabii haujatimia!

Mbona alishasema mwisho wa kuangamia Dar ni tarehe 20 mwezi mei!!?

Tusubiri tuone!!
 
Can you prove these allegations? Tusaidie ututajie hao watu unaodai Magufuli aliwafilisi. Pia tupe uthibiitisho wa kitafiti juu ya madai kwamba baada ya mdogo wake na Rostam kuachiliwa money circulation iliongezeka nchini following the inauguration of Taifa gas
 
Part 1 mdogo wake Rostam anafunguliwa kesi ya ujangili

View: https://www.youtube.com/watch?v=vl8EpKNeIoc
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 31.10.2018
Part 2: Mdogo wake na Rostam aachiliwa kwa kulipa faini

View: https://youtu.be/1zOhcsecoVo
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 21.12.2018
Part 3 Rostam anarudi nchini na kumpeleka lowassa Lumumba

View: https://youtu.be/nUXToHSW0eQ
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 01.03.2019
Part4:Rostam bega kwa bega na JPM katika uzinduzi wa Taifa gas

View: https://youtu.be/IGblup4RPhg
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 25.06.2019
Part 5:Baada ya Taifa Gas kufanya kazi vizuri kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu na mzunguko kuwa sawa kidogo.Rostam apewa kiwanda cha ngozi na aahidiwa ubunge wa Morogoro akiamua kugombea

View: https://www.youtube.com/watch?v=Bs18vR_OF4I&t=76s
👆 👆 Nimekuwekea na screenshot ya tarehe 12.02.2021
Halafu naomba ujiongeze JPM alikufa lini ? Je kulikuwa na matatizo makubwa sana mpaka kumuhitaji Rostam ? Na je hayo matitizo yaliiisha kabisa au yalitulizwa kidogo ? Namalizia jiulize hayo matatizo ndio yalipelekea kifo cha JPM ? Unafiki ni kitu kibaya sana.
 
Ilikuwa Feb 15, 2021,
Alipotoka hapa ndio ukawa mwanzo.....

Hizi macrophone nani alifanya setting?

Ukiunganisha dot mbalimbali kuna harufu fulani...... Huko mbeleni ikitokea kuundwa tume watu waliohusika na vyombo hapa wafanyiwe nao uchunguzi.......
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…