Tayana-wog watu wa Arusha wamejibu swali lako.Bus zuri Tahmeed.. very classy. Other infos visit web yao.
Acha tuOh
Kumbe wizo wewe ni first born!
Hongera sana
First born ni Mama mlezi wa familia.
Asante my dearBus zuri Tahmeed.. very classy. Other infos visit web yao.
SASA MUNGU atawasikiliza wapi WA 30,50 au 90 mnamchanganyaYes niona mkuu,according to pastor, Kabugumira ,ndo wanamaliza mfungo wao wa 50 days๐
Sisi tuna mfungo wa siku 90(3 month) mpk October .
Itafakamika tu,lzm watu waelewe hatucheki na wowote
Kwani na huku pia upo?Nkamu
Watu wa serikali ya Mbinguni hao๐
Usicheze nao
Au sio ๐น๐นYes Niko serious,mi ndo nilivyo na ndo maisha yangu..,
Once you're a first born mbona utajua tu kuomba na kufunga Kwa ajili ya familia ni masuala ya kawaida sn.
Tena Nina mwaka sijafast tangu issue ya mama kuuguza mpk kuzika nilipumzika tu.
SS nimerudi rasmi ndo maisha yangu
,wokovu mbona sio km unavyotafsiriwa kikubwa naepuka mijadala yenye mizaha Kwa Mungu,naishi maisha ya toba na kutunza utakatafu baasii
Mengine maisha ya kawaida, Haina maana tusitaniane,tusifurahi jmn ๐คฃ ๐
Sawa katibu ,mi ndo huyu SS
Tayana TITHII na husemi ๐น๐นNimecheka ๐ ๐ ๐
Kesho mfungo mpk October
Ila Nkamu๐๐Au sio ๐น๐น
Nilikuwepo kidogo Tajiri๐Kwani na huku pia upo?
Nkamu Tayana kitengo huyo..!! ๐น๐นIla Nkamu๐๐
Najikaza nisicheke
Acha kunipa dhambi
Asante kwa kunitabiria.Nilikuwepo kidogo Tajiri๐
YNWA
Atawasikiliza wote wanamuomba, alisema ombeni lolote....SASA MUNGU atawasikiliza wapi WA 30,50 au 90 mnamchanganya
๐คฃ๐คฃ๐คฃJmnTayana TITHII na husemi ๐น๐น
Ndio hivyo katibu ๐Au sio ๐น๐น
Zile pesa ulisema unazo zinazagaa Liverpool ikishinda unapata pesa.Asante kwa kunitabiria.
๐๐๐๐Nkamu Tayana kitengo huyo..!! ๐น๐น
Kabisa Tahmeed bora zaidBus zuri Tahmeed.. very classy. Other infos visit web yao.