Dark days 17/03/20...

Hii kidogo imenitoa knout hila kazi iendelee

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Ugonjwa wa CEO ukaanza kuwa sereous, maumivu makali sana upande wa kushoto, kwenye kifua mbavu pamoja na ganzi mwilini!

Doctor akasuggest baadhi ya vipimo kwa CEO japokuwa muda mwingi alikuwa akimwambia huu ni uchovu tu, hali itakaa sawa na akawa anampa dawa za michongo!!

Kumbuka this man was higly trusted by the CEO, hakufikiria wala kuwaza kwamba he can betray him!!

CEO akaendelea kutumia dawa hizo za mchongo, ambazo in one way or another zilikuwa zikimpa outside phyisical finess ila ndani ya mwili kuna lot of slow death activities zinaendelea

Wakati haya yanaendelea the old CEO alitumia muda huo kuwa na kikao na afisa usalma mkuu wa kampuni, mwanasheria mkuu wa kampuni na baadhi ya important board members kujua namna kampuni inapaswa kuendelea!!

The sick CEO baada ya kupata taarifa hiyo, alichukia sana, yuko kitandani he isnt okey then anaskia kuna meetings zinaendela kuhusu hatma yake!!

Akakumbuka since amerudi hakuwa na secretary!! Anaamua kumteua secretary mpya kuonyesha kuwa yeye bado ni CEO na ana run the company!!

The old CEO wakati huo akiwa na team yake wao walishaanza kueneza speculation kuwa the CEO is sick na hajiwezi!! Wali wa involve a lot of people na media kuneza habari hiyo!!

hii nayo ili msukuma the new CEO kutaka kuonekana public akifanya kazi! So aliona akionekana akiwa na secretary ataweza kuwaprove watu wrong!! Na ni mda sasa haonekani public

doctor new the secret!! CEO alifosi kutoka medical room baada ya kumaliza drip yake ya tatu na akaja direct kwenye press kavalia suti yake akijitahidi kujionesha mkakamavu!!kumbe Hakuwa sawa!! He was forcing aonekane sawa!!

Kwenye press alisalimia tu then akampa nafasi secretary azungumze baada ya hapo it was the last day for the man to be seen in public


After the press nikama tatizo lilizidi, alizungumza zungumza pale na some company staff then he was rushed to the medical room, after one hour akawa kama amepoteza fahamu! And was taken to a hopital

What happened??

Iko hivi.... One day baada ya kukubali kukutana na the late mwenyekiti, a sereous meeting ilikuwa ikindelea in one of the base ya the old CEO!

Decitions were to be made on how the CEO will be terminated! And what will happen after his termination!!

Hili suala lilikuwa zito sana! stage hii sasa iligusa a group of whom call themselves "deep company obsevers" hawa ni ex - leaders of the company! Their chair man ndio the old CEO

Ni group la watu ambao wanamaslahi makubwa sana kwenye kampuni! Miradi mingi sana ya kampuni tenders ni zao!! Hakuna tender au uwekezaji ndani ya kampuni ambao behind the scene wao hawahusiki!!

These people includes native and non none native! Some living in the country and other outside the country!!

Alipojichanganya our new CEO ni kutaka kuvunja hii kitu na kutaka kurenew kila kitu alichokikuta!!


Muda mwingi Alicheza na public zaid ili apate sympath!! but kwa hawa elites mgogoro ulizidi kukua!! Na ulikuwa kutokana na tabia za CEO dhidi yao!! Ali block their opperations, take their money by force and threat them!! Aliwafanya atakavyo!! Baadhi walianza kumuogopa!

Hivyo after the meeting maamuzi yalifanywa kutumia powder inaitwa NSP, hii ni modified polonium 210! Hii inauwezo wa kucheza na mtu kwa more than 80 to 90 days since awe contacted with!!

Hii inamuondoa mtu taaaratibu!! Na ni very thin to be seen with neked eyes!! Ina sifa ya kushambulia moyo, mapafu na ubongo very slowly dependimg na health status ya mhusika until total death!!


Hii ndio iliwekwa kwenye zile seald documents, documents alizozisoma mwenyekiti akiwa wa kwanza akitoka kwa CEO na pia DOCUMENTS alizokuja kuzisoma our CEO Kama nakala kutoka kwa mwenyekiti

Taraatibu powder hii ilikuwa ikiwatafuna daily bila kufahamu!! Dalili zilijionyesha mapema hata kwa CEO but hakuchukulia serous sana

hali ya CEO ilibadilika sanaaaa baada ya press, hakuwa anajitambua! his condition was getting worse!!

Doctor akapenyeza info kwa the OLD CEO, kuwa huyu safari ndio imewadia, team ya old CEO ikapenyeza taarifa hiyo kwa mmoja wa viongozi wa kampuni nyingine shindani, kiongozi huyo akaenda kwenye social medias akapost tangazo la pole kufuatia kifo cha the new CEO. He did that for popurality na uhasama dhidi yake na the dying CEO[emoji850][emoji26]

Booom!! Habari ikatua kwa jamii na wafanyakazi,

Watu wakataka msemaji wa kampuni atoe ufafanuzi! Athibitishe taarifa ile!!

[emoji57]Jamaa akatoka akasema the guy is fine and well!! Na yuko ofisini anaendelea na kazi! Na akasikia akisema msipende kusikiliza speculations[emoji16][emoji16][emoji16]


After 15 hours of suffering, pain na near death experience, majira ya saa tisa za usiku, the CEO woke up!! Ilikuwa ghafla!! The doctor was called immedietly, then a litle check up on him was done, kisha his wife, son and doughter were also called to see their farher!!

He oppened his eyes, he looked tired, He tried to waved his left hand, it was kama anataka kusema nao neno but alikuwa hawezi!! His wife came close and hold his left hand, his son and doughter also came and stood behind their mother! They both in tears, watching their very sick father! then slowly He closed his eyes!

A moment of silence ....................

the machine stoped bping!! Daktari na manesi haraka wakaingia, wakawatoa nje mama na watoto, walijaribu kufanya evrything they can but the CEO WAS NO MORE the suffering came to an end!

The doctor pronounced him dead!! [emoji849][emoji849][emoji26][emoji26][emoji24][emoji24][emoji24]

TARGET DOWN! ...... I REPEAT TARGET DOWN............. our CEO is DEAD!!

Kume kucha ....... kume kucha ........

Team yake na CEO were in shork! Hawakuamini! They decided to play dirty baada ya kusikia their CEO is dead! Team ikamuweka chini ya ulinzi dactari! Ika mwambia hakuna kutoa taarifa hiyo popote na kwa yeyote kwa sababu za kiusalama!!

Kiongozi wa team akawasiliana na new secretary, akamtaarifu, they need money!! And they need it very fast! Akamwambia sababu kwanza aliye kuteua is no longer alive! Pili una mda mchache sana toka upewe huo usecreatary guarantee ya kubaki kwenye hiyo pisition ni verry low!!

Akamwambia; assistant wa CEO kiutaratibu ndio anapaswa kuwa CEO but hafit in that position, we need money to sedduce all seccurity aggences ndani ya kampuni kumkataa huyu assistant!!

ishu hii itakwenda kwa board members!! So we need kujipanga with good balance we can select our own CEO distribute some cash and we have people kule kwenye board, then our own guy atakuwa selected and wewe unaremain in your position as secretary!!

Secretary akawasiliana chap kwa haraka na mhasibu mkuu wa kampuni! Akamdirect kutoa kiasi cha pesa kutoka accout kuu na kiwekwe kwenye account ya mmoja wa team ya the dead CEO haraka iwezekanavyo!!

Sasa kumbuka daktari alikuwa na mawasiliano mazuri tu na ya siri na the old CEO, akafanikisha kumpenyezea taarifa ameshikiliwa na team ya CEO na CEO tayari is no more!! Na huku mazito yanaendelea!!

Team hii ikiongozana na yule bwana mdogo ilikiwa inajua Assistant wa CEO sasa ndio anakuja kuwa kuwa the CEO, it was a nightmare to them! Hawakutaka kusikia maana wanataarifa kuwa yule ni mtu ni wa the old CEO maslahi yao yanakwenda kufutika!

Mchakato ukaendela kwa wao kuzuia tangazo la kifo na wakaanza harakati za kuhakikisha anawekwa mtu wao!! siku tatu zinakatika toka CEO awe dead!! purukushani zinandelea!! Raia wanahoji where is the CEO??


Mzee wa connection Tayari alikuwa keshajipanga!
Alijua haya yatatokea na alishaandaaa plan nzima!! Wakawasiliana na afisa usalama wa kampuni kudeploy stage four ya mission nzima kwanza nikucleanup the mess!


Wakamkamata kwanza dogo kiongozi wa timu ya the ded CEO na members wengine woote wakawatia kizuizini!!

Secretary[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] akafuatwa, chap kidogo akawekwa chini ya uangalizi, maajabu aliyemfuata na kumkamata ni kijana wahapo hapo company house na ana mjua kila siku, na nimiongoni mwa walio pata fungu [emoji23][emoji23][emoji23]

You remeber our deep informal?? akapigiwa simu! Akaambiwa anahitajika haraka sana DSM arudi!

"Uko wapi? Niko .....,! Haya hapo hapo ulipo leo usiku kuna watu wanakuja na kuna waandishi wa habari watakuwa na hao vijana! The CEO is gone wewe ndio unachukua jukumu! So kuna kijana ana speech soma kama ilivyo!! asubuhi itakubidi ufike DSM haraka sana toa ushirikiano wako "

Simu hiyo ilipigwa saaa tisa za mchana!! Akiwa na walinzi wake, nusu saa tu baada ya mazungumzo hayo kundi lingine la walinzi linaongezeka pale ndani!! Iina kuja na full convoy with protection

wanashuka vijana na wanaongea na walinzi wa mhusika then wanaingia kumuona mhusika!!

wanambrief sasa sereously on the death of the CEO then wanaandaa press na wanamuistruct kuwa taarifa hii ina bidi isomwe saa usiku, why sababu za kiusalama! Huyu ni CEO, anawafuasi anything can happen nibora press iwe usiku kuliko jioni hii!!


So mhusika anakubari anasubiri usiku mnene, woga ni mwingi! The so called a plan now imekuwa reality l![emoji41][emoji41] Anapaswa sasa ku anouce the death of the CEO and become the CEO

waandishi wao, nao walikuwa wako prepared!

Time came!! then anaapear on the screeen!!

Breaking news......

"Nasikitika kutangaza kifo cha CEO kilicho tokea leo(realy leo????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]) , CEO wetu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya ........"

---
Muendelezo Soma Dark days 17/03/20...
 
Timu msoga hii
 
Mmmmmmh [emoji2958][emoji2958][emoji2958]

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Narudia tena this is a story haiusiani na chochote please [emoji16][emoji16][emoji16] tusome tu!! Nothing sereous!!
Story umeileta in codes, kwa waliofungua hizo codes tayari ushawajengea kitu flani kama utata hivi kwenye bongo zao, ila kwa wale tuloshindwa kufungua hizo codes itabaki kuwa hekaya au story flani hivi ya kutunga ambayo haina mahusiano na mtu ama kampuni flani hivi.
Hatari.............. Kama ni kweli.

Sent from my D6616 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…