Dark days 17/03/20...

Nadhani lengo kuu la huu uzi ni kumchafua kijana aliachwa mkiwa na kwa vile ni kidagaa atapata tabu sana!!!


Pole sana kwako old Branch Manager ndio hivuo tena
 
Muda wa kutufanya watz tuwe neutral umefika na kutuandaa na SERIKALI mseto zijazo Ndio Huu!!tunaandaliwa kiakili Ili tupunguze mihemko ya kiitikadi ya vyama vya siasa!!Ndio màana nyuzi kama hizi zinapanda jukwaani!!
pia kurekebisha Historia ya Tanzania, watu walitaka kutulazimisha watoto wetu walishwe matango kwa Histria za kujipandikiza eti zifundishwe Primary na Mtaala ukaandalia, Mungu mkubwa kila kitu tupwa kule tumebaki na wale wale mashujaa walioipigania Nchi yetu, laabda baadaye
 
Late CEO sijuhi alikufanyaje wewe.
Unaonesha una chuki Sana na wafu katika hii story.
 
dunia hii wamchao Mungu ndio wabaya mbele za watu,,,

karma mbaya sana mmoja ashakuwa digidigi anaishi na sokwe porini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…