kweli ni maeneo mengi tulipotezwa maboya na histori itajaproove
eti Mr Bright kumbe alimshinda late CEO? lkn aliambiwa hataupata uCEO
boya kali hilo
umechelewa ilipitiwa na kipanga na hujui usemalo wewe akili yako ndio punje ya mtama kwenye kisoda, mamvi alimshinda The Late CEO tafuta mstari huo km huioni semaUmiza akili mkuu hujafungua code au akili kisoda
mbona inaeleweka, msimulizi wa hekaya alitaka kwanza tujue Branch Manager alifikajefikaje hapo na uchawa wake ndio aendelee na kazi aliyomuomba Baba (Late CEO) ammalize asistant wa Mr culturenmegundua hii story hii haiwezi kuisha kwa sabb tumerudi nyuma enzi za mr.bright na mr.diplomatick wakat tupo utawala wa new CEO.
Late CEO sijuhi alikufanyaje wewe.
Unaonesha una chuki Sana na wafu katika hii story.
Maduka yao ya simu yako wapi, na hizo car wash zao ziko wapi pia?View attachment 2187659
umechanganyikiwa (Inferior complex) ndio maana umekula za meno
The late CEO angeendelea hata mwaka mmoja angetumaliza, chonee yote aliikwapua bila jamvi kuijadili, aliiweka nyumbani na nyumba ya kampuni, watoto walifunguliwa mibanda mikubwa ya simu na kuosha magari na sasa wanayashindwa
acha tu malipo ni hapahapa duniani Ngosha wewe
yanakuhusu nini wakati hii ni riwaya tuMaduka yao ya simu yako wapi, na hizo car wash zao ziko wapi pia?
Unadhani kwa mshahara wake tu asingekua na uwezo wa kuwafungulia wanae hayo maduka ya simu na car wash?
Wewe uliyeandika yanakuhusu nini mambo ya familia za watu?yanakuhusu nini wakati hii ni riwaya tu
mbona mnarukia kuliko Mleta Mada
ngoja nitakapofungua ya kwangu ndio mnihoji
mnaturudisha enzi ya mwendazake mlikuwa mnahoji kila post
humu ndani kuna mtu kaandikwa mm nimemjibu Inferior Complex kwa kunichokoza, wewe una ID 2 au ni Admini?Wewe uliyeandika yanakuhusu nini mambo ya familia za watu?
soma MWANZA ingine hiyo tangu 2015 mnajimegea tuLate CEO sijuhi alikufanyaje wewe.
Unaonesha una chuki Sana na wafu katika hii story.
Late CEO alikuwa mutu mubaya sana kuanzia sura mpaka roho.Late CEO sijuhi alikufanyaje wewe.
Unaonesha una chuki Sana na wafu katika hii story.
Ukiona mtu alikuwa anamshabikia yule mshamba mgonjwa wa akili basi ujuwe huyo ni mchawi tu kasoro hana vitendea kazi.soma MWANZA ingine hiyo tangu 2015 mnajimegea tu
Zitto Kabwe: Tangu mwaka 2015 Serikali imepeleka Mabilioni ya fedha Mwanza ambayo haijulikani yanapokelewa na nani, CAG atueleze!
ACT Wazalendo leo wamefanya uchambuzi wa Ripoti ya CAG. KC Zitto Kabwe amesema kuanzia mwaka 2015 Serikali imekuwa ikipeleka fedha kwa mabilioni Mkoani Mwanza ambazo hazijulikani ni za nini na huwa zinapokelewa na nani. Zitto Kabwe amemtaka CAG kutolea maelezo ya kina yalipo mabilioni hayo ya...www.jamiiforums.com
Kwanza hakuwa Mtanzania, na mimi nilimdharau tu pale alipotuma watu wamuuwe Tundu Lisu Mungu akakataa matokeo yake limekufa yeye tena kizembe kabisa na Corona kwa kupuuza maelekezo yà wataalam.Late CEO alikuwa mutu mubaya sana kuanzia sura mpaka roho.
Bora limekufa
Mbwa waoga wanaorudisha mkia nyuma wameanza kubweka.Kwanza hakuwa Mtanzania, na mimi nilimdharau tu pale alipotuma watu wamuuwe Tundu Lisu Mungu akakataa matokeo yake limekufa yeye tena kizembe kabisa na Corona kwa kupuuza maelekezo yà wataalam.
Sasa angalie litoto lake Bashite damu za watu alizomwaga zimeanza kumrudia na kumlilia hana amani tena ya maisha, wauwaji hawa.
Aiseee nipe pole maana baada ya kuwajuwa hawa wapuuzi mimi sina hamu nao.kwa njia moja au nyingine nilikutumika kusafisha vyombo vichafu kuvisugua na stil waya ving'aeKazi ya luckyline kwenye huu uzi ni kuaminisha kwamba upinzani wote ni useless. Ninaamini wasaliti wapo lakini sio kwa mtazamo wa huyu mtu.
Kumbuka hii ni riwaya tu.
Na ilikuaje yule Dr asla akajiuzulu baada ya mr Culture kumpokea mr Bright?Nyie hii dunia muione hivi. Nikiwaza kuna wakati nawaza mengi maana mimi nasoma sana riwaya.
Nasisitiza hii ni riwaya. Nilivyosoma ile riwaya na mimi nikajikuta navaa uhusika yaani kama vile naota ndoto.yaani nilikuwa naota kupitia kwenye ile riwaya
Kwamba wakati late CEO wakati anausaka u CEO mr new culture aliona customers wale vijana wake ambao wako chini yake wale wapiga kelele wanaojita mabrigedia bila elimu,aliona hawamfai.
Akaamua kutengeneza team ya mutu kama 90 hivi, iliitwa team " wherever you're we are there".
Kazi yake ilikuwa ni moja. Kushika stil waya na kusugua masufuri yatakate haswa!! hii yote ni kimsafisha mr bright. kumbuka kwenye hiyo ndoto na mimi nilikuwa kwenye hiyo team.
So hiyo team ya wenye elimu ya kuweza kueleza uwezo na uzuri wa mr bright ilibidi itembee mguu kwa mgu, nyumba kwa nyumba.
Maskini kwakuwa na mimi nina ka elimu basi nikifika kwenye kaya hapo nimeambatana na vijana kama watano hivi wale wapiga kelele wasiokuwa na elimu, basi mimi ndo naananza kujieleza.
Kwenye kujieleza lazima uwe umesoma vizuri ile ripot ya mr bright kuachia ngazi. Kwa kifupi sisi wenye ka elimu ile ripoti tuliimeza so ukifika kwenye kaya ambako kuna wasomi walikkuwa wakituhoji, ilikuwaje mr new culture akampokea mr bright?
Basi nashusha nondooooo, na vipeperushi kibao tunahamia nyumba nyingine. Jamani kumbukeni hapa nilikuwa naota.
Basi wakuu tulizunguka hii branch yenye matawi zaidi ya 2o mguu kwa mguu nyumba kwa nyuma hii yote ni kusugua na stil waya kutu za mr bright.
Kinachoniuma ilikuwaje na mimi nikajikuta kwenye hiyo team ta kusugua kutu? Wakuu nikiwaza sasa hivi najikuta nacheka, hivi huyu mr new culture anatuonaje sisi mpaka atutumie kama dodoki? Nasikitika sana kwa nini sikujua huu upuuzi
Nakumbuka kwenye ile ndoto tulikuwa na wimbo ketu,......... mr bright, mr bright , ana ka mtima keupe, ana ka ngozi ka mtume, na kichwani kwake kuna mchele mweupe, tiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiriiiiiiiiiiiiiiiiiiiii lazima alale kwenye hekaru nyeupe.😂😂😂😂😂
Jamami jamani nyie hawa wapuuzi walijuwa kutuchezea.
Lakini kitu nilichojifunza kwenye ile ripot ya kuachia ngazi kabisa mr bright hakuwa na hatia so wakati tunamsugua na stil waya huko kwenye matawi tulikuwa sahihi.
Kilichoniuma ni mimi kujikuta chini ya mpuuzi mmoja mr culture .lakini hata hivyo kwenda kule kulinisaidia kujua upuuzi wanaoufanya akina, kijana msema sana na mr new culture.
Kingine nilichoona kwenye ile ndoto, kijana msema sana, aliyekuwa kapoteza daftari lake hivi karibuni, hakupenda mr new culture ampokee mr bright kwa wakati ule. Alikubali shingo upande. Mambo yaliisha aliye pata u CEO akapata maisha yakaendelea.
Lakini baada ya mwaka moja kijana msema sana akanasa kwa mr born in town. Je wewe ungekuwa late CEO mzalendo unaona wateja wa kampuni wakichezewa na mr born in town, mr new culture, na kijana msema sana je ungekaa kimya?
Kwakweli hata mimi ningemfundisha adabu.kwa kufatia rules za uongozi zilivyo ngumu. Baada ya kuota haya yote nikastuka usingizini.