Dark days 17/03/20...

Huku tuliko ni saaa 17:03 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] najua huko mmelala saa hii,[emoji1787] anyway na ki oppo changu old model[emoji1787] mambo ni mengi sana, kuna watu wanataka simulizi iendelee wengine wanataka wapate na mambo current na yajayo!! Kimya hiki kina mambo mazuri yaja![emoji1787][emoji1787][emoji1787] Acha tumalizie tour[emoji2957]

Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app
 
Are you serious?
 
Sawa tunasubiri bt usisahau kununua OPPo mpya
 
c niliwaambia mtu yuko NYC au mmesahau post yngu pale juu.....[emoji115][emoji115]
 
Wwe huyo Jiwe kakufamyia uovu gani!? Mbona mnapenda kumsingia Marehemu kwa Mambo ya kijinga!? Mbona alivyokua hai hamkusema haya yote!?
Toka akiwa hai mimi nimekuwa napinga uovu wake hasa kuua watu na kuiba pesa za umma na kijificha kwenye kichaka chenu (Wanyonge). Ndiyo maana hata siku ya mwaka mmoja baada ya kifo chake serikali haikutaka hata kujihusisha.
 
Sawa deep informer.
 
Naona fanani unaongeza ubunifu wa kuteka hadhila.
 
Hebu tuletee mapya na yajayo,hii kiu tulionayo sio ya kitoto
 
mrudi nyumbani sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…