Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Kama kwa ujinga wako nimeandika mimi ni tajiri, kama kwa ujinga wako hujaelewa nilichosema.Wewe bado fukara unatukana ovyo mitandaoni unatukana usiowajua ..unautajir gani wewe fukara bado una muda wa kuja kutukana usiowajua humu , wewe endelea na biashara za walalahoi hizo unapata vimilioni ukitukana watu ndio unajiona tajiri fala wewe huna hela wewe nahujui lolote
Kama kwa ujinga wako transaction kubwa unahisi ni matrilioni tu,Au mabilioni.
Au kama kwa ujinga wako Unahisi kila atayekuja hapa kucoment ni tajiri.
Uuu mjinga saaaana. Na pita comment yangu. Ila nimeandika nilichoandika na sifuti kwasababu ya ujinga wako.
Ila nina shughuli siwazi shetani, nabadirisha mboga nyumbani. Naenda kanisani. Na watoto wangu wako shule, Mama yangu anaishi vizuri,nyumbani kuna mifugo, najaza gari yangu mafuta, kila siku niko mjini, nakunywa pombe nazotaka muda wwte, na bado sijawahi fikiria shetani ndio chanzo cha pesa. Fanya kazi, mwehu wewe. Au abudu shetani tuone hizo hela zako au utajiri wako. Tusipangiane