Darling, I'm Sorry I can't go on

Naomba iwe kweli. Usijerudia MATAPISHI yako.. Kupenda ni rahisi sana, Shughuli iko kwenye kuacha.. BADO siamini.. hapo ni usanii mtupu.
 

Ni bora akakaa kimya bila ya kujitutumu make ukweli unauma. Kwa kawaida kuachwa huwa kunauma na hata kama ulikuwa huna mpango lakini kusikia neno kuwa mimi na wewe basi tena, hapo huwa panasumbua na wasiokuwa jasiri huishia kujitutumua na kutoa maneno kama ya Babu Kijana. Namshauri akae kimya augulie maumivu yake ndani tu.
 
Lakini licha ya maumivu aliyonayo ameweza kueleza hisia zake kwa upole na utulivu na mara nyingi watu wa aina hii huchukua msimamo wa moja kwa moja.

Kwa taarifa yako hii ni hatari zaidi! Muogope sana yule mtu achekaye wakati akihuzunima moyoni ! hii compusure ni deadly! Wataalamu wataungana nami; unaweza kuta hii kitu haishii hapa kama tunavyoamini!

Naungana na wanokataza kumdolishia licha ya kuwa ni utoto lakini pia ni kumprovoke!

He needs counceling huyu jamaa! Mark my words!
 

watu wanachukulia powa!!!!!!!!!!!
 
Godwine, I love you, not for what you are, but for what I am when I am with you...mwaah
ROSELYNE ITAKUWAJE JAMAA ULIYEMUWEKA HAPO KWENYE SIGNATURE YAKO ANAKUJIA NA MANENO KAMA YA HUYU JAMAA?NAHISI UTAMCHINJA,ANGALIA USIWE NEXT VICTIM:drum:
 
ROSELYNE ITAKUWAJE JAMAA ULIYEMUWEKA HAPO KWENYE SIGNATURE YAKO ANAKUJIA NA MANENO KAMA YA HUYU JAMAA?NAHISI UTAMCHINJA,ANGALIA USIWE NEXT VICTIM:drum:

umenitisha ujue!for a second nimejikuta nawaza sijui itakuwaje...

ila hapana hawezi nifanyia hivyo,ananipenda sana na mie nampenda pia:wink1:😎
 
umenitisha ujue!for a second nimejikuta nawaza sijui itakuwaje...

ila hapana hawezi nifanyia hivyo,ananipenda sana na mie nampenda pia:wink1:😎

mamii anything is possible...aah jamani leo mi ninakigugumizi cha kuandika kabisa hizi mada hizi!!! I wish I could open my head n just pour whatever is into it with this regard!!
 
Biblia kitabu kitakatifu kinatufundisha kujiandaa wakati UFAAO na USIOFAA!

Akili ya kumbiwa...............

Life is like a keyboard on which we press white keys of happiness and black keys of sorrow, and we must accept that, black keys has got music too.
 

Anybody to summarise thsi for me please. Really, I am too tired to read all this.
 
Anybody to summarise thsi for me please. Really, I am too tired to read all this.
Mkuu Masaki, ikiwa samarized zaidi ya hapa utakosa uhondo, jitahidi kusoma tu, ni ujumbe ulio tulia ingawa ni sihu za kawaida sana kwenye malovee ya dunia ya sasa
 
Kaizer, Mkuu naomba kukusalimia, nimekumis sana Mhe. Vipi mpango wako wa kutangaza nia umefikia wapi? Salute kwako
 
Naomba iwe kweli. Usijerudia MATAPISHI yako.. Kupenda ni rahisi sana, Shughuli iko kwenye kuacha.. BADO siamini.. hapo ni usanii mtupu.
Ni kweli Dreamliner jamaa anaweza kurudi kimya kimya tatizo atatuambia hapa jukwaani kuwa amerudi kwa huyu anayejishebedua kumuacha hadharani
 
ChiefmTz, you are the man!Ni afadhali kumwambia mtu kuliko kumfanyia visa/cheatings. Poleni both kwa maumivu,but be there for her until she moves on!
I wish.......!

Bado hujachelewa, m-PM labda atakufaa! Angalao kuwa pozeo lake na ww huku ukijipanga kutoka kama yeye. Kwani umeolewa?
 
Biblia kitabu kitakatifu kinatufundisha kujiandaa wakati UFAAO na USIOFAA!

Akili ya kumbiwa...............

Mkuu....hapo ndo huwa nakukubali.
Za kuambiwa huwa hawachanganyi na za kwao!....wanazichukua kama zilivyo.

Kuna watu wanang'ang'ania tu ili wasionekane wameshindwa mahusiano au ndoa.

Za kuambiwa.....changanueni na zenu bana!
 


Ahhhhh! so sad!
http://www.youtube.com/watch?v=NWdrO4BoCu8http://www.youtube.com/watch?v=NWdrO4BoCu8
 
dah, mkuu hapo juu naomaba kama una contact unitumie ili tuwasiliane,hiyo baru ayako hapo juu nilitaka kutoa chozi maaana almost ni point ambayo hata mimi naelekea kuifikia, sasa chozi linanitoka kwakua huyo GF wangu bdo nampenda saaana, ma email is
( fredyj31@yahoo.com), nitumie hata namba yako ya sm kupitia hiyo email, bt am sorry for wat happened to you, we tulia Mungu atakuonyesha wako ambaye atakua wa kufa na kuzikana.:eyeroll2:
 
Wameamua kuumbuana sasa ni fraha kwa Kunguru,
Wajeruhiwa huwa wanakuwa watamu sana.

Kweli Fidel, najua PAPA na NYANGUMI, wakodolea macho Bahari.........Ndo hali ya Dunia!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…