Darling, I'm Sorry I can't go on

Duh!

You have to be told "to brace for impact" before such a bombshell is droped on you...! 😛ainkiller:
 
Mkuu....hapo ndo huwa nakukubali.
Za kuambiwa huwa hawachanganyi na za kwao!....wanazichukua kama zilivyo.

Kuna watu wanang'ang'ania tu ili wasionekane wameshindwa mahusiano au ndoa.

Za kuambiwa.....changanueni na zenu bana!

Mpwaaz nimikumiss humu dimbani rudi bana!
 

Mkuu waweza niPM tu hakuna shaka
 
dah, mkuu hapo juu naomaba kama una contact unitumie ili tuwasiliane,hiyo baru ayako hapo juu nilitaka kutoa chozi maaana almost ni point ambayo hata mimi naelekea kuifikia, sasa chozi linanitoka kwakua huyo GF wangu bdo nampenda saaana

Kumbe yanawakuta wengi. Hongera Mkuu Chiefmtz kwa kuweka wazi hisia zako ambazo zimewafanya na wengine kujitokeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…