DART Bongo full vurugu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Serikali yetu iwe makini sana isije kuga huu mkanganyiko usioeleweka.

Dodoma/Dar. Events along the Dar es Salaam Rapid Transit (Dart) yesterday were a clear manifestation that the public rapid transport system was facing serious operational challenges.
This started with Udart drivers going on a strike claiming having not been paid salaries for two months, a move that caused thousands of city commuters to get stranded at terminals and general disruption of services.
In another development, President John Magufuli yesterday issued a stern warning against (Dart) managing director Ronald Lwakatare.
Dar transport in chaos over Udart troubles
 
Malizaneni na kabali za World Bank kwanza, haya rapid transport sio wakati wenu kwa sasa.
 
Malizaneni na kabali za World Bank kwanza, haya rapid transport sio wakati wenu kwa sasa.

Tatizo mnakurupuka sana hamjui mn'gate wapi kwanza.
 
Tatizo mnakurupuka sana hamjui mn'gate wapi kwanza.
Tafuta clip ya Makonda umsikilize, huku vitu ninatatuliwa kwa masaa sio kwa siku au miezi kama Kenya.
 
Huo ndiyo ukweli lakini hata kamaa tutakataa. hili ni tatizo wahusika wachukuwe hatua na siyo maswala ya kuangalia nani ameweka bandiko gani ama nani anasema nini..tusizionee aibu changamoto ambazo zinagharimu maisha yetu na wenzetu
 
Kero hazitatuliwi kwa clips za mitandao, Dar kuna shida sana ya usafiri Mabasi ya mwendo kasi ni shida! - JamiiForums
Hata wewe umepachika link ya mitandaoni ambayo huna uhakika na kila kilichosemwa. Hakuna mwananchi wa kipato cha chini anayesikilizwa na serikali yake kwenye ukanda huu kama mwananchi wa Tanzania. Kenya mnapigana changa la macho kusema eti tuko pamoja, pamoja na nani. Msikikize Makonda halafu rudi hapa baada ya wiki mbili utupe mrejesho.
 
Maghu-FOOL-i na uwongo zake
 
Najaribu kifikiria, hivi wewe ni Mkikuyu au Mkalejini.

Wale wanaomweka magu majina hapo mara mingi ni mungiki (msapere). Wamemtukana raila uko kenya hadi wakamnunua handshake na pesa billioni kadhaa.

Wakalenjini mara mingi si watu wa kelele. wako shuguli zao uko kwa mashamba ya mahindi na ngano, huku vijana wao wakipiga exercise za marathon na cross country.
 
Hata mimi najuwa kalenjini ndio wanaitangaza Kenya duniani kwa talent yao ya michezo, hawa mungiki Kikuyu kazi kubwa wanafanya ni wizi wa hapa na pale.
 
Hata mimi najuwa kalenjini ndio wanaitangaza Kenya duniani kwa talent yao ya michezo, hawa mungiki Kikuyu kazi kubwa wanafanya ni wizi wa hapa na pale.
..... na wasukuma ndio hao hapo juu kwenye picha, kuna mmoja aliyevalia shati la white hapo, amefanya frog jump kutoka chini hadi juu ya dirisha la basi. Labda tutamuona akiwakilisha Tz kwenye Olympics. [emoji38]
 
Haha, wewe ndio huijuwi Tanzania kabisaaaaa. Hapo ni Dar kwa Wazaramo, wasukuma wako Mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…