DART Bongo full vurugu

Haha, wewe ndio huijuwi Tanzania kabisaaaaa. Hapo ni Dar kwa Wazaramo, wasukuma wako Mwanza.
Aah wapi, acha zako wewe, wazaramo nawafahamu vizuri tu. Ndio hao hapo kando wanachapa gumzo na kukenua kenua. Huyo hapo aliyechapilia shati lake ndani ya suruali, kama kijana wa kwaya, ili ajibanze dani ya basi kupitia dirishani ni msukuma haswaaa! Amezuru Dar kwa shemeji ila tabia ni zile zile. [emoji23] Usije ukaniua bure ndugu yangu, ni utani tu. [emoji1]
 
Haha, sikujuwa unaweza kuangalia makalio ya mtu ukajuwa kabila lake [emoji23]
 
Eh, hiyo hiyo musuli ya chini ya kiuno. Kha hii convo sijuwi inaenda wapi [emoji23][emoji23][emoji23]
😕 Mimi hata sikuwa nimetaja wala kuona makalio. [emoji15] Aisee, acha yaishie hapo. Mimi najua makalio ni kwa wanawake ndugu yangu, na ingekuwa ni mwanamke, ningekuwa naona hayo makalio pekee yake. 😎 Nawa oo! But why Mwanzi1, why???
 
Tz mko na uf*k'n[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…