DART inatarajia kupokea shehena ya mabasi 99 ya mwendokasi

Utawala huu kwa mapicha picha unaweza kuhisi tupo level US au China
 
Samia "hasubiri" kuapishwa.....
"Hasubiri"!!!!???
 
Hata mkiyaweka rangi za chama No reform No Election wananchi tushaamua
 
Tokeni zenu uko. Mnatuona mandeeeezi. Mlituonyesha mabus yale ya scania ya mwendo kasi. Imepita miezi sasa bila kuona hata bus moja. Sasa mnakuja na mabus ya kichina, acheni upuuzi. Kazi nzuri itajiongelea yenyewe tu. Leteni vyuma ndio sifa zifuate baadae. Nyinyi mnatupiga porojo tu bila utekelezaji
 
Mabasi ya Waarab hayo, Serikali yenu ilishashindwa, Wajinga nyie!
 
Watu wanateseka na hii mwendokasi mwaka wanne sas.

Halafu mnakuja kuleta siasa za kipuuzi.
 
Utakufa nacho kijiba cha rohooooo...... Utakufa nayo roho mbaya na chukiiiii ndindiii
Wewe dhania tunacheka hapa,KARMA itakufuata ulipo, Yuda alimsaliti yesu uliona kilichomkuta? Wewe nawe MUNGU atazungumza na wewe chukulia haya maneno ni matupu,but nakuapia chini ya mbingu hapa,utapokea hesabu yako tasilimu. SUBIRIA YATIMIE.
 
Takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…