DARUSO pamenuka, UDSM kugoma...

Janja PORI

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
825
Reaction score
246
kikao cha tarehe 7 jana kimefikia maamuz mazito MGOMO J3 kutetea wenzao baada ya njia ya maongez kushndwa
 
akuna atakaegoma trust me
cya Monday
watoto wa sasa wananuka maziwa na makelel mengi kuliko vitendo tofauti na enzi zetu wakiongozwa na Jenerali ZITTO KABWE
serikali walikuwa na adabu kwa wanafunzi sio leo wakifanya ujinga wakitishiwa kutolipwa mkopo nanii zote zinalala chini
 
Haa haa haaaa! Nina uhakika Pdidy haujasoma kufikia level ya university! Tujifunze kukubali hali zetu, hata kama ni low kulinganisha na wengine!
 
Haa haa haaaa! Nina uhakika Pdidy haujasoma kufikia level ya university! Tujifunze kukubali hali zetu, hata kama ni low kulinganisha na wengine!

tehe tehe tehe tehe tehe tehe...
 
Haa haa haaaa! Nina uhakika Pdidy haujasoma kufikia level ya university! Tujifunze kukubali hali zetu, hata kama ni low kulinganisha na wengine!

umetumia kigezo gani mdau?duh
 

nina shaka kama uliwa fika chuo kikuu chochote nchini..
 
Wacha wagome ili waombe tena misaada ya kuwasaidia waliofukuzwa UDSM. Si wametumwa na familia zao kufanya migomo.
 
Toka nmeanza udsm tukiwa na makamanda kama odong silas keefa odwa.. Tuliwahi fukuzwa chuo three time kwa miaka mitatu tofaut lakin tuliweza kuifanya serikali kulegeza masharti kandamizi ya mikopo na tuligraduate..
My take
Msiogope kudai haki zenu mpaka kieleweke ..solidarity forever.
 
umetumia kigezo gani mdau?duh
Angalia uandishi wa mabandiko yake anayoyaweka humu especially yale yanayohusu habari za airport. Hauhitaji nguvu ya ziada kupima level aliyosoma
 
Nyie vijana badala ya kufuata kilichowapeleka mnatajifanya wajuaji haya gomeni tena tuone watakuofukuzwa Chadema watawapeleka India
 
Hiki kzazi cha TEHAMA hakina uwezo wa kugoma,wanashinda wanashndana wanashusha suruali na kuiga style za kucheza kiduku...tukubali tu tumekosea sana kuruhusu chuo kkuu kudahiri watoto teenagers ambao walitakiwa kuwa sekondari
 

Pdidy,
Na wewe ulipita Mlimani? Labda Mlimani ulikwenda kuwinda ndege...
 
elimu yetu kwa sasa inahitaji maombezo la sivyo hatutakuja kuwa na wasomi hapo baadae
 
SOLIDARITY FOREVER,serikali haina ubunifu kumaliza matatizo ya Elimu yetu.kila siku wanakuja na mifumo kandamizi na inayoua elimu yetu,Viva DARUSO hakuna kulala warudisheni wenzenu.
 
Ndo tatizo la kumpa ngwini aongoze chuo bora Prof Eng. Member IEEE mathew Luhanga kaongoza chuo vizuri sana alivyokuja huyu kilaza wa kashozi mambo yote yamaharibika chuo sasa kinaendeshwa kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…