Daruso- website yenu inatia aibu

Daruso- website yenu inatia aibu

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,440
Wanajajamvi na kama wapo na wasomi wa chuo kikuu maarufu Tanzania.

Sijui Kama wasomi wanaotakiwa kuwa mfano wana jua kazi ya website. Je hizi website zinaanshwa kama fashion na mkumbo tu .
Nimejaribu kutafuta number za viongozi wa wanafunzi wa chuo Kikuu cha dar.(DARUSO) http://www.daruso.udsm.ac.tz/
Cha kusikitisha webpage ya daruso ni kazi haina contact us. Pili ukinavigate kwenye page ya Ministers and leaders huoni mwasiliono yao yeyoteyale. number chache za viongozi zilizopo ni za wale wa zamani. Kila ukipiga unaambiwa nimemaliza mwaka juzi. Hii ni aibu

Je wasomi wa Daruso hawajui umuhimu wa ICT..

Mpaka wamenazisha website nadhani wanajua kazi ya inayotakiwa kufanywa na tovuti . Na hakika wanajua kazi ya tovuti ni zaidi ya kuweka picha za viongozi.Je wasomi wa UDSM hawajui sifa za information system.?


IFM , Muslim univesity of morogoro nazo. ni kama yale yale. But hawa wa morogoro ni chuo kichanga.

Badala ya ICT kujaribu kuondoa urasimu wa mawasiliono ni kama vile bado tuko 1980.

Angalizo.
Nia ya kutafuta hizi number ilikuwa kuwaomba wataje vitabu vinayotumika course mbali mbali . Niliona X paster anasema ana electronic book nyingi. Sasa kwa kuwa tunajua kuna uhaba wa vitabu i thought ninge wasaidia kuwaunganisha na x paster

daruso fungeni website ama wekeni taarifa sahihi

Ni mimi kibonde No 2. teh teh teh
 
PHP:
Niliona X paster anasema ana electronic book nyingi.

hii ni kweli mkuu, mimi nimefaidika sana

wasaidie nao wazipate
 
Back
Top Bottom