Daruso yote yatimuliwa udsm.

Daruso yote yatimuliwa udsm.

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
wakuu nimepata text toka kwa jamaa yangu aliyepo UDSM, anadai viongoz wote wa daruso wamefukuzwa chuo....
RDI 16:56 Today
Walofukuzwa moja kwa
moja ni 13 na suspended
ni 86.
 
HAPO SASA! Hii ni njia ya kujenga hofu ili kuwagawa wanachuo!
 
Poleni wanasolidarity...hiyo jeuri ya watawala wetu. Haiwezekani uendeshe chuo kibabe hivyo, na UDSM inaonekana ni moto wa mabadiliko na kwa watawala watumia njia ya kufukuza na kukamata leaders ili kutisha wengine.....Lakini viva ndugu zetu na mkumbuke kuwa Hira, dhuluma, fitina, na uonevu haujawahi kushinda haki hata SIKU MOJA.
 
Iweke sawa hii taarifa! Wametimuliwa na Uongozi wa Chuo, ama wametimuliwa na Wapiga Kura wao (Wanafunzi)?
 
Am not sure but wengi ninaowajua wamefukuzwa wakiwemo wabunge waliohudhuria kikao cha kupitisha mgomo.kwa taarifa za mtu aliyewaona kuna fujo kati ya ffu na wanaharakati.cjasogea karibu na kwenye watu ila kuna kelele zao zinasikika.
 
Uongoz wote wa daruso umefutwa sababu ya kuptsha mgomo, sa hz pashanuka ntarud badae
 
nGOJA NILOG OFF FASTA NIKAUNGE MKONO KUNJI...PUMBAFFF SANA HAWA MAGAMBA
 
kama wana umoja kweli wana udsm wote waungane kupigania haki zao.wafanye mgomo mmoja tu mkubwa wa kumaanisha then watulie.
 
Wana UDSM, hapo mnapaswa kukaza kamba sana sasa, lasivyo wengi wenu watatimuliwa!
 
Tatizo mkandara anakifanya chuo kikuu kama jumba lake la makongo juu na pia huu ukaribu na kikwe.te una mpa jeuri sana huyo mzee na juzi juzi nilimuona hospital yupo na mkewe wamechoka sana nina wasiwasi na afya yake maana alikua amevaa shati kweli masuti na makoti yanawasaidia sana hawa watu
 
ha h ah ah a ha ah ah aha htatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wapi senetor
 
Habari nlilizozisikia japo hazijawa na uhakika nikuwa chuo kinaweza kufungwa mda wowote coz hatuwezi kuongozwa bila daruso.
 
Back
Top Bottom