Poleni wanasolidarity...hiyo jeuri ya watawala wetu. Haiwezekani uendeshe chuo kibabe hivyo, na UDSM inaonekana ni moto wa mabadiliko na kwa watawala watumia njia ya kufukuza na kukamata leaders ili kutisha wengine.....Lakini viva ndugu zetu na mkumbuke kuwa Hira, dhuluma, fitina, na uonevu haujawahi kushinda haki hata SIKU MOJA.