Wapo wanaowaandikia watu research work hatimae huja kuumbuka siku ya oral maana she/he doesnt own the paper before her eyes.
Hawa watu wanafundishwa na wako na maprof sasa sioni input yako apo looks like tuition but trend ya siku izi watu wanaandikiwa of which accademic institutions wameanza kuwa wakali now days juu ya ilo.
Kama ni ushauri tuu na sio kuwaandikia then ALL THE BEST