Wakuu kuna course ya data analysis using spss na ms exel inafundishwa udsm details hizi hapa
1.mahali- ucc mbezi beach branch mbele ya kituo cha goigi.
2.muda wa lumaliza course-ni course ya wiki tano(5weeks).
3.ratiba ya course-jumatatu hadi ijumaa saa 12:00jioni hadi saa 2:00 usiku
4.ada ya course tsh 290000/=
nb: Mimi nimejiandikisha kwenye hilo darasa na sasa inasubiriwa idadi ya wanafunzi iongezeke.ni course nzuri namba ya course coordinator ni 0712853939 ukimpigia atakufa maelekezo zaidi.ila yeye hajapost tangazo hili