Habari wananzengo, natafuta watu wawili wa jinsia yeyote watakao kuwa tayari kuunganisha nguvu ili tufungue data consultation firm... Elimu angalau bachelor degree ila awe amesoma statistics au economics, pia ajue kutumia statistical software sana sana stata, sas, r, au Python... Kwa sasa niko Dodoma...mawasiliano 0713753660