Data entry baada ya sensa

maranatha

Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
58
Reaction score
11
Kwa anayefahamu tafadhari,nafasi za kazi za data entry baada ya sensa zinatangazwa lini?
 
wa2 walisha apply be4 hata kazi yaukarani haijatangazwa hivyo basi kwa tetesi nilizozipata hiyo nafasi haitatangazwa. applicant ni wengi.
 
week 2 zilizopita ndo ilikuwa deadline hawakutangaza takwimu wameshachukua watu wao na ndugu zao...

da! mwaka huu imekula kwangu kuhesabu watu nimekosa,nilitegemea hii nitabahatisha coz niliifanya 2002 nayo hola najisikia kulia coz inamalipo mazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…