Data entry, havard university

Data entry, havard university

MAPENZI UPOFU

Member
Joined
Sep 5, 2012
Posts
10
Reaction score
1
Habara wanajukwaa, naomba kama kuna mwenye updates za kazi za hawa jamaa walizotangaza hv juzi juzi kama wameshaita au bado. nimeshafanya nao interview na wakanijibu kuwa watatuita soon bt kimya kingi sana... naomba mnijuze wandugu
regards
 
Back
Top Bottom