Data science & Full stack developer

Data science & Full stack developer

Joined
Feb 10, 2015
Posts
20
Reaction score
7
Habari za muda huu wanajamvi, naomba mwenye ufahamu mzuri na hawa jamaa wanajihita Digatal Regensys, wanajihusisha na digital online training especially upande wa data science and full stack developer. Asante
 
Hao ni wasaka tonge tu kama ulivyo wewe Utalipa utafundishwa juujuu watapiga pesa yako...Ukitaka kujifunza mambo ya digital Udemy,youtube wapo
 
Hao ni wasaka tonge tu kama ulivyo wewe Utalipa utafundishwa juujuu watapiga pesa yako...Ukitaka kujifunza mambo ya digital Udemy,youtube wapo
Nakazia Ukishakuwa vizuri njoo nikusaidie ku-apply kazi moja kwa moja Ujerumani
 
Nakazia Ukishakuwa vizuri njoo nikusaidie ku-apply kazi moja kwa moja Ujerumani
Nipo hapa mkuu, kwasasa najifunza data analysis nkimaliza niunge na science kabisa ila shida ndo hapo hii sector bado sana hapa bongo, japo kwa sasa nafanya kama funny tu, sijui kuna uwezo wa mtu kupata shavu kweli.
 
Habari za muda huu wanajamvi, naomba mwenye ufahamu mzuri na hawa jamaa wanajihita Digatal Regensys, wanajihusisha na digital online training especially upande wa data science and full stack developer. Asante
Njoo tujifunze mkuu tupeane na moyo wa kusonga, mi nipo kwenye Data analysis natumia YouTube, tutorial za kutosha za kila rangi.
Kama una hobby karibu, nilianza na Excel na sasa niko najifunza SQL, nkitoka hapo naingia Python na mengine yatajengana mbele ya safari huko.
Inshallah.
 
Back
Top Bottom