Eng.Rwebangira
Member
- Feb 10, 2015
- 20
- 7
NakaziaHao ni wasaka tonge tu kama ulivyo wewe Utalipa utafundishwa juujuu watapiga pesa yako...Ukitaka kujifunza mambo ya digital Udemy,youtube wapo
Nakazia Ukishakuwa vizuri njoo nikusaidie ku-apply kazi moja kwa moja UjerumaniHao ni wasaka tonge tu kama ulivyo wewe Utalipa utafundishwa juujuu watapiga pesa yako...Ukitaka kujifunza mambo ya digital Udemy,youtube wapo
Nipo hapa mkuu, kwasasa najifunza data analysis nkimaliza niunge na science kabisa ila shida ndo hapo hii sector bado sana hapa bongo, japo kwa sasa nafanya kama funny tu, sijui kuna uwezo wa mtu kupata shavu kweli.Nakazia Ukishakuwa vizuri njoo nikusaidie ku-apply kazi moja kwa moja Ujerumani
Njoo tujifunze mkuu tupeane na moyo wa kusonga, mi nipo kwenye Data analysis natumia YouTube, tutorial za kutosha za kila rangi.Habari za muda huu wanajamvi, naomba mwenye ufahamu mzuri na hawa jamaa wanajihita Digatal Regensys, wanajihusisha na digital online training especially upande wa data science and full stack developer. Asante