Data za mwaka 2021, Tanzania na mataifa mengine zikionesha kiwango cha nishati ya umeme kilichozalishwa kwa mwaka Tanzania ina kipi cha kujifunza?

Sawa kabisa mkuu, maelezo yako yame eleweka vizuri kabisa.

Lakini je tumefika tumefika kiwango hicho kwa mwaka ?
 
USA na China zinazalisha na kutumia zaidi ya 49% ya Umeme wote duniani.

Na uzalishaji hutegemea matumizi, hizo nchi zote zina viwanda vikubwa sana hivyo lazima matumizi ya umeme yawe makubwa pia

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Je sisi tume jiandaa kwa hivyo viwanda vikubwa na vya kati tunavyo lilia wawekezaji kila siku ?
 
Ngoja nikusaidie hisabati:
Hiyo MW 1605.86 ambayo ni sawa na GW 1.6 ni daily electricity production of Tanzania; siyo annual production. Zidisha mara 366 utapata annual production ambayo ni GW 585.6 kwa mwaka. Hiyo inatutosha sana watanzania na kusaza MW 109,500 kila mwaka au MW 300 kwa siku. Yaani mahitaji yetu ya umeme kwa siku hayazidi MW 1,300 wakati uzalishaji kwa sasa 2022) ni MW 1,700. Ila kwa upumbafu pumbafu wetu tu umeme huwa unakatika sana.

Sasa unapotulinganisha na nchi hizo zingine zinazozalisha malaki ya GW kwa mwaka siyo sahihi. Wao hayo malaki ya GW ndiyo mahitaji yao. Sisi tukiyazalisha tutayapeleka wapi. Wao hawana nyezo zingine za nishati. Sisi tumezungukwa na misitu inayotupatia nishati kama za kupikia na kadhalika. Sisi umeme ni mambo ya starehe tu na ndiyo maana tunaununua kwa Tsh 350 kwa unit wakati kwao umeme is life or death na unauzwa kwa Tsh 20 tu kwa unit.
 
Mm nikiwaambia kuwa jamii ya kiafrika ina matatizo watu wananiona mbaya.
Hebu ona sasa kuna nchi zinazalisha megawatt mpaka mamilioni ila nchi yetu hata megawatt 1600 ni tia maji CCM ilaaniwe.
Hapana ndugu ni GWh na sio MW, ningependa pia upitie michango ya members wengine kwenye hii thread walio toa ufafanuzi uliobora na kuonesha utofauti katika haya maneno hapa chini:-
i, MW
ii, MWh
iii, GW
iv, GWh
 
Bwana likianza uzalishaji 2024 titakuwa tumefikia 3800
Ambapo kuna excess ya 2500 itayokuwa inapotea kila siku

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Matatizo haya ya kukosekana kwa nishati ya umeme kwenye maeneo mengi ya taifa hili yata kuwa yame tibika ?
 
Kwa viwanda vikubwa na vya kati tunavyo omba kwa wawekezaji kuanzishwa hapa nchini hizo mega watts zina tosha ?
 
Kiwanda kikubwa hakiji kirahisi, kinahitaji skilled labors ambao Tz hakuna.

Sisi tutaendelea pokea viwanda vya kutengeneza yebo yebo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo tuna paswa kuwa na sera nzuri za kielimu ili kuweza kuzalisha skilled labor nyingi nchini.
 
Asante kwa ufafanuzi ndugu.
 
Kwa viwanda vikubwa na vya kati tunavyo omba kwa wawekezaji kuanzishwa hapa nchini hizo mega watts zina tosha ?
Hiyo bakaa ya MW 400 ya sasa inawatosha na chenji kubaki. Na jinsi watakavyo ongezeka na sisi tutaongeza uzalishaji. Juzi tu pale Kinyerezi tumeongeza MW zaidi ya 100. Tatizo letu ni upigaji unaosababisha kata kata ya umeme isiyoeleweka; hii inakimbiza hata hao wawekezaji wa viwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…