Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri,
Kwa mwenye uelewa kido ni wapi naweza pata mechi zote zilizochezwa toka liki kuu ya Tanzania bara toka imeanza hadi sasa. Iwe kivyovyote vile au katika mfumo wowote ule, Nimejaribu kuangalia kwenye tovuti ya TFF sijapata muongozo wa moja kwa moja.