Nahitaji ya misimu yoteKwa msimu mmoja ama toka enzi hatujapata uhuru miaka hiyo?
Nenda TFF ama IPP media, hawa ndio watakua na data za zamani.Nahitaji ya misimu yote
Dataset niliyopata Kaggle haina ligi kuu, ndio maana nilikuja kuuliza hapa, ila ntaangalia tena kama naweza kupataMkuu ingia "Kaggle" kuna datasets nzuri tu za kufanyia kazi.