Database System katka biashara

Olympus

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
2,818
Reaction score
688
Tunatoa huduma ya kunatengeneza database system kwa ajili ya kutunza BUSINESS RECORDS katika biashara kubwa na ndogo kwa bei NAFUU.Achana na njia-kabisaya kizamani yakutunza -business records zako katika madaftari na karatasi tumia njia hii mpya ilyo na usalama zaidi na yenye ubora zaidi
Je kwa nini ni muhimu kwa biashara yako kuwa na database system.
Faida za kuwa na database system katika biashara yako ni kama zafuatazo;

Some of the advantages of using database technology in your business include:


  • reducing the amount of time spent managing data
  • giving you the ability to analyse data in a variety of ways
  • promoting a disciplined approach to data management
  • turning disparate information into a valuable resource
  • improving the quality and consistency of information

    KWA YEYOTE ANAYEHITAJI HUDUMA HII AWASILIANE NASI KUPITIA PM AU AT 0718164448
 
Meandika database hiyo kwa lugha gani?. je ita run kwenye platform gani?
Database hiyo inafanya nini hasa ungeelezea kidogo,...
ASANTE
 
Meandika database hiyo kwa lugha gani?. je ita run kwenye platform gani?
Database hiyo inafanya nini hasa ungeelezea kidogo,...
ASANTE
Database itaandikwa kwa lugha yoyote ambayo mteja anataka(kiswahili/english)
Databse itarun kwenye desktop au laptop yako yoyote but inatwakiwa kuwa Windoes based
Kazi kuu ya database ni ku-safely store data/information in an ordered manner,pia inakusaidia katika ku rekodi buniess records zako.Pia ni mmoja ya system maalumzina provide security for your confidential information
 
meandika database hiyo kwa lugha gani?. Je ita run kwenye platform gani?
Database hiyo inafanya nini hasa ungeelezea kidogo,...
Asante

any more questions?
 
he perhaps woud want to know how those systems cost.
the pric will depend with the amount of data you want to store and what database system you would like to use????
 
Je computer ikigoma ina maana nitapoteza kumbukumbu/hesabu zote za bishara?
 
Iwapo database ni kubwa, daily backup si lazima itamaliza storage (flash disc/RW cd)muda mfupi?
muda mfupi?[/QUOTE] Hapana sio rahisi.....uzuri wa database systems ni kwamba uaweza ukastore a thousands of informations but -ikatumia less than 100mb na hata kama ukifanya ackups inachukua a small portion of your disk space
 
......................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…