Dati: Msanii mwenye asili ya Tanzania anayefanya mziki nchini Sweden

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Huyu bidada anaitwa Dati baadhi yetu tutakuwa tumemskia saana au kidogo. Anafanya vizuri kimziki nchini Sweden. she's the best anachonifurahisha anaueneza Utanzania kupitia mziki wake hasa kwenye show zake. Ni jambo zuri saana.

(at Stockholm)

Hizi ni baadhi ya tracks zake .



[/IMG]

 
Daby huyu Dati ni chipukizi?
Ana asili ya kitanzania yani amechanganya?
 
Daby huyu Dati ni chipukizi?
Ana asili ya kitanzania yani amechanganya?
Huwezi ukasema ni mainstream ila ashafanya kazi... hizo ni baadhi.

Kuna moja ashafanya na Barnaba.
 
Daby huyu Dati ni chipukizi?
Ana asili ya kitanzania yani amechanganya?
Ni mswedish ambaye baba na mama ni Watanzania.

Nadhani ni watu wa Tanga hawa.
 
Kuna Nuru the light na yule Sarah aliimba tanesco msikate umeme.
Ndio tunawajua, huyo Dati sijui yuko chochoro gani.
By the way, kuna Kina christian bella, ben kinyaiya na wasanii kibao wakubwa tu wako huko wanataga au wengine walirudisha majeshi.
Kuna wakongwe Kina Vumbi Dekula wanapambana na hali yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…