Dati: Msanii mwenye asili ya Tanzania anayefanya mziki nchini Sweden

Sijajua chimbo lake haswa nimemfahamia kwenye emergenza bands festival.

Huyo sara ndiye saana. Lbda strugo atuambie
 
Mi siaelewa hapo uliposema anaueneza utanzania, hivi ndio kufanyaje?
 
Mi siaelewa hapo uliposema anaueneza utanzania, hivi ndio kufanyaje?
Utanzania ni pamoja na lugha yake na kila kilichopo tz.

Unapomwambia mzungu when I say mambo say Poa??? Unapochukua video katika mazingira ya Kitanzania?
 
Ben Kinyaiya ni msanii mkubwa? Msanii wa nini? Halafu pale Kinondoni ndio nje ya nchi?
 
Ben Kinyaiya ni msanii mkubwa? Msanii wa nini? Halafu pale Kinondoni ndio nje ya nchi?
Hilo la usanii mkubwa atakujibu babu.

Ila nuru na sarah wapo sweden... Huyu Nuru alisha sainiwa na S record.

Jamaa inasemekana ni wa element zile kuna ukweli?
 
Nipo namtumbo bro.... Long time lkn
Mkuu kuna jamaa aliletaga uzi wa mshkaji kama sikosei ni miondoko ya reg Sweden au Norway nimetafuta sana
Uwo uzi
Any idea broo
 
Mkuu kuna jamaa aliletaga uzi wa mshkaji kama sikosei ni miondoko ya reg Sweden au Norway nimetafuta sana
Uwo uzi
Any idea broo
Hauna hata kimoja unachokikumbuka kingekusaidia kumtafuta aidha jina la track.

Kwa Norway kuna hawa wanaofanya raggae Admiral huyu ana asili ya Zambia na jamaa mmoja anaitwa NiCO ndiyo nimeshawahi kuwaskia...

Kwa Sweden wapo kina general knas, Kapten Rod , Peps huyu kashakua mbabu kama sio kuzeeka.
 
Ben Kinyaiya ni msanii mkubwa? Msanii wa nini? Halafu pale Kinondoni ndio nje ya nchi?
Ben ashaishi Stockholm we lofa, mtangazaji mwanamuziki na unamfahamu.
We nani anakujua hapo mjini?
 
Haha babukijana ..inaelekea unawajua Vizuri Wasanii wetu waliyo Nje ya nchi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…