TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Based on my view point
UTANGULIZI
Huyu mdada niliwahi mjua before kwenye mkoa x ndani ya mwaka huu, tuliwasiliana kiasi huku nikiwa nagusa mada kwa juu juu za kuomba mahusiano. Mwaka huu bahati nzuri amekuja kupata kazi katika Wilaya ambayo nafanya kazi, hapo hapo nikampata kiurahisi kabisa , sikutaka afikie kwangu alipokelewa na mmoja wawafanyakaz wenzie.
Sifa za ziada
Huyu mdada kiukweli ni mrembo/mzuri kisula kimaumbile kiheshima na hata kwenye matumizi ya ulimi kiukweli anajua nini anafanya
Mimi niliweza kutoa huduma ndogo ndogo za hapa na pale nampenda lakini sitaki kujiendekeza.
Kipindi cha 2/3months alikuw anaishi na mfanyakazi mwenzake akiwa anatafuta chumba , sasa room amepata na anaelekea kuhamia , mimi sina utayari kbsa wakumsapoti katka kodi wala godoro .
Naona kama kutoa msaada wa kununua godoro na kulpa kodi utakuja npa stress 😬
NB
Hawajahi niomba kuwa nimsaidie kulipa hiyo kodi au godoro lakn najishtukia.

- Ajawahi nipiga kizinga ila kiume huwa na najiongeza kwenye issue za kawaida
- Si mchoyo tangu tumekubaliana
- Sijawahi hisi kuwa ana cheat .