Najibu kwa niaba ya mshichana ambae niko nae hapa (Yeye hajajiandikisha JF)
The answers are Simple
Kikojozi sitaki haina ubishi wala mjadala.
Alieachana mara 3, Inabidi uchuguzi zaidi ufanyike kwanini anakua aacha-acha
Mtu aliefulia - inategemea kama ana prospects za kutoka katika huo umaskini mfano anaelimu, anaweza kua hana elimu lakini he is intelligent, anaweza kwenda shule, au ni hard worker na mbunifu katika biashara n.k Kama hana hizo talent Sina haja nae, kwanini kujitumbukiza kwenye shida na umaskini wakati unaona?
Sorry these are my view though they might sound odd to others..