Dau la Messi kutua Chelsea hataree

Dau la Messi kutua Chelsea hataree

a.k.a_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2014
Posts
292
Reaction score
113
Tukibadilisha kwa pesa za kwetu tunaongelea zaidi ya Nusu Trilioni.......kweli pesa inaongea, haya £200 milioni imetolewa dau la Chelsea kwa Messi
 
Wakati sisi wengine tunahangaishwa na kodi za pango na milo mitatu kwa siku..wengine wanamnunua mtu kwa mapesa yote hayo...loh..!!
 
Tukibadilisha kwa pesa za kwetu tunaongelea zaidi ya Nusu Trilioni.......kweli pesa inaongea, haya £200 milioni imetolewa dau la Chelsea kwa Messi

Siyo mchezo! Kwa xchange rate 2750 ni billion 550 yaani 0.55trn/- siyo mchezo
 
kule ngoma mbichi sio kama la liga..
ngoja tuone kama atashine

Me naona ligi ya uingereza siyo ngumu kama watu wanavodai. England hamna timu ambayo ni exceptional kama zilivo barca na madrid , man u ikicheza na stock city mpira wao unafanana unakuta wa kukimbia kimbia ndo maana lolote linaweza tokea .. barca na madrid ni tofauti wanacheza mpira wa mahesabu nabhii hupelekea kushinda mechi nyingi na kuonekana tim pinzani hazina kiwango .. england hamna timu inayoweza kusimama mbele ya hawa jamaa kwa mpira wa kiwango..
 
Back
Top Bottom