marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Hahaaaaa!!kweli Tz tuna safari ndefu sana, tena umbali wake ni zaidi ya ule wa kwenda ktk sayari ya MARS!!!eti head hii ndio uiambie mambo ya katiba mpya si unaipasua kabisa!!Baada ya hukumu ya mchambuzi nguli wa masuala ya soka na michezo Tanzania Bw Shafii Dauda Al Maarufu Kama Digala kua amefungiwa kujihusisha na masula ya michezo kwa muda wa miaka mitano kutoka kwa TFF..
Hivi mkuu uko serious kweli na ulichokiandika,? Au umeamua kufurahisha tu wadau hapa??Baada ya hukumu ya mchambuzi nguli wa masuala ya soka na michezo Tanzania Bw Shafii Dauda Al Maarufu Kama Digala kua amefungiwa kujihusisha na masula ya michezo kwa muda wa miaka mitano kutoka kwa TFF
Wote tunafahamu kua Shafii Dauda ana miliki maduka ya Vifaa vya michezo DAUDA SPORTS WEAR
Sasa je licha ya kufungiwa kujihusisha na masula ya michezi Dauda anaruhusiwa kuendesha bishara ya vifaa vya michezo ? View attachment 2122315
Yuko sirias na usikute ana mke na watotoHivi mkuu uko serious kweli na ulichokiandika,? Au umeamua kufurahisha tu wadau hapa??
πππππNilichogundua KUPATA KATIBA MPYA N NGUMU SANA
fikiria huyu n great thinker
Je walioko mtaani watakuwa na Hali gani?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hii ndio maana halisi ya mtu alie staarabika na kuelimika ...Washabiki uelewa wao mdogo Sana kuhusu hili suala..wanadhani ndio atacha kupost, kwenda uwanjani au kufunga duka etc..kufungiwa kwa dauda ni katika nafasi za utendaji wa shughuli za soka alizokuwa anafanya ktk TFF , mkoa wa dar es salaam etc.
Mambo mengine yote yaliyosalia ataendelea Kama kawaida kwenye redio,mitandaoni na biashara zake..ndio maana wachambuzi wengi wanamwambia saiv atakuwa huru zaidi tofauti na mwanzo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app