Daudi akiwa ana play low key mtaani

Daudi akiwa ana play low key mtaani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1640017584195.png
 
Tanzania WikiLeaks huko Twita imesema kuwa huyu ni kifaa cha mammy! akatoa na picha wamekumbatiana enzi hizo. sijui kama ni kweli au majungu. Akaendelea kusema kuwa sahau kumpeleka mahakamani
Inasemekana ana siri nyingi na akizitoa tunaweza kumpoteza mapema.
 
Anaongeza Kibubu kwa kupiga karanga na korosho ili wazungu wakitoka wanajaza kikombe cha kahawa.
 
Tanzania WikiLeaks huko Twita imesema kuwa huyu ni kifaa cha mammy! akatoa na picha wamekumbatiana enzi hizo. sijui kama ni kweli au majungu. Akaendelea kusema kuwa sahau kumpeleka mahakamani
Ni kuchafua tu.. mama hata kina wema wamepiga picha kama hizo na kljk, mbowe na kuendelea ndio kusema walikuwa na mahusiano ya kimapenzi sometimes tujaribu kuwa optimistic.
 
Back
Top Bottom