Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

Daudi Kanyau ajenga msikiti na nyumba ya watoto yatima Kibaha

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
5,139
Reaction score
1,147
MFANYABIASHARA KIJANA DAUDI KANYAU AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!! HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA TUNAPOPATA MAFANIKIO KUJARIBU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTOA SADAKA

Tulianza kwa kutembezwa, hii ni sehemu ya watoto yatima watakaolelewa hap, idadi yake ni 40 tu!!​
Hii ni nyumba ya Daudi....!!​

Kwa ndani​
DSC_0646.JPG
Hii ni servant quarter​
Parking ya magari​
Nyumba ya bi mkubwa, mama yake Daudi​
Kwa ndani​
DSC_0648.JPG
kwa ndani​
kwa nje​
ukuta embu ona kwa karibu!!!​
Nilipenda sana kichuguu eeh!!​
huu ndio msikiti....!!​
Kisima kwa ajili ya kutawadha!!!​
Nyumba ya Imamu wa msikiti!!

Daudi akiwahudumia wageni!!!

Faiza. Daudi, Phares & Tanisa

Dad's Daughter

Daudi na watoto wake wapenzi!!!, awali awali hakuna mbovu!!!
 
kanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.
 
kanisa alilojenga liko wapi? acheni kujipiga promo pengine hela zenyewe hizo ni za magaidi either wa somalia au al quaeda...huwa mnaaminika nyie? subiri, muda si mrefu mtamsikia kama papa msofe.

.....Hater...simply...hater..
kama huna uhakika usishutumu mtu, mpeni moyo sio kumvunja moyo ameanza na kituo cha kulea zidi kumuomba kesho na shule, thats the positive thinking.
 
.....Hater...simply...hater..
kama huna uhakika usishutumu mtu, mpeni moyo sio kumvunja moyo ameanza na kituo cha kulea zidi kumuomba kesho na shule, thats the positive thinking.

kweli kabisa MadameX tujifunze kukubali ukweli pale unapooneka.....mwanzo mzuri sana! aendelee akijaaliwa.. awawekee wanakijiji shule, maji na hosp
 
Safiiiiii! Kama kafanya kwa nia njema Inshallah MwenyeziMungu amzidishie!
 
MFANYABIASHARA KIJANA DAUDI KANYAU AMEJENGA MSIKITI NA KITUO CHA WATOTO YATIMA-MKOA WA PWANI !!! HUU NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA TUNAPOPATA MAFANIKIO KUJARIBU KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTOA SADAKA

Tulianza kwa kutembezwa, hii ni sehemu ya watoto yatima watakaolelewa hap, idadi yake ni 40 tu!!​
Hii ni nyumba ya Daudi....!!​

Kwa ndani​
DSC_0646.JPG
Hii ni servant quarter​
Parking ya magari​
Nyumba ya bi mkubwa, mama yake Daudi​
Kwa ndani​
DSC_0648.JPG
kwa ndani​
kwa nje​
ukuta embu ona kwa karibu!!!​
Nilipenda sana kichuguu eeh!!​
huu ndio msikiti....!!​
Kisima kwa ajili ya kutawadha!!!​
Nyumba ya Imamu wa msikiti!!

Daudi akiwahudumia wageni!!!

Faiza. Daudi, Phares & Tanisa

Dad's Daughter

Daudi na watoto wake wapenzi!!!, awali awali hakuna mbovu!!!
Sawa tumeona,na shule vp?hao watoto wanatakiwa kusoma,ajenge na shule!
 
Safi sana!!

Anafanya biashara gani? Isijekuwa unga!!

Lkn angejenga shule kwanza kabla ya msikiti

Akili za kipagani bana ! Huo ufahamu wa kusomea unapewa na nani ? Je Yeye hastahiki kushukuriwa kwanza !?
 
Back
Top Bottom