Karibu sana...Nitakuja siku kukutembelea kkoo
NikweliHata nisipoenda na hela atagharamika
Ndio maana sijakuambia ukweli [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiben10 mfyuuuu zako
Hahah!! SorryAhahaha bichwa lako
Ahahahhh hata usiponiambia najua davet ni kiben10Karibu sana...
Nikweli
Ndio maana sijakuambia ukweli [emoji1]
Hizo hizoHamna hela za wanyama!
Eneo la kazi nilikua na vijana zaidi ya wawili kwahyo nimepunguza idadi yao ili kuminimize cost pia najitahidi sana kuweka kila kitu sawa ili nisiangukie kwenye mikono ya wakuuWewe umejipangaje ili kuendana na mazingira?
Sio kweliAtakuwa kapokonywa simu
Mbona ulipotea ghafla jamaniSio kweli
Unawashauri nini vijana wanaohangaika kutwa kutafuta ajiri?Eneo la kazi nilikua na vijana zaidi ya wawili kwahyo nimepunguza idadi yao ili kuminimize cost pia najitahidi sana kuweka kila kitu sawa ili nisiangukie kwenye mikono ya wakuu
Mtaji inategemea na mawazo na akili ya muhusika wengine wanaweza fanya maajabu kwa mtaji mdogo na wengine wanafail kwa mitaji mikubwa piaMmmh unadhani mtaji Wa kiasi gani unaweza kuwafanikisha vijana kiuchumi
Hahah sio mkingaAhahahhhh lazima nichangamkie atakuwa mkinga huyu Ney
Huwa natokea kimya kimyaAhahahh kwenye mambo za story sijawahi kukuona
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Akakomba hadi machine ya EFD!
[emoji1] [emoji1] sio bnAhahahhh hata usiponiambia najua davet ni kiben10
KumbeeeHahah sio mkinga
Huwa natokea kimya kimya
Unatamani sana kwenda peponi ila kufa hutaki.Si amesema anatamani wengi
Kuna swali lilikua linahitaji majibu ya kina ndio nilikua natypMbona ulipotea ghafla jamani
Nawashauri wasitegemee sana kuajiriwa yani wajiongeze maana muda haumsubiri mtu, pia siwalaumu maana hali halisi naijuaUnawashauri nini vijana wanaohangaika kutwa kutafuta ajiri?