nitamwambia ondoa hofuEmbu mwambie bado mapemaa kabisa
Aya sawa dadanitamwambia ondoa hofu
[emoji120] [emoji120]Aya sawa dada
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] Nilijua tu ndio huo.Ule uzi ulioanzishiwa
Rudi kwanza uchukue ubuyu kwa ukhuty uniletee naona yy ananiogopa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
sas nakuja live naset mitambo yangu mdog wanguRudi kwanza uchukue ubuyu kwa ukhuty uniletee naona yy ananiogopa
Hahah poa ndugu nakusibirisas nakuja live naset mitambo yangu mdog wangu
[emoji23][emoji23][emoji23]
njoo wasap basi
nimeshaumwag kweny group kule nend upesiHahah poa ndugu nakusibiri
Ila rafiki uzi ulinoga huu. [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa. Nimeuona tayari mdogo wangu.nimeshaumwag kweny group kule nend upesi
Hahah!Mie pia kaniwekea ujue. Ila nimecheka sana rafiki lol.
Hahaaa. Itakuwa aiseee.Hahah!
naona kaamua kupita kimya kimya tu...
Umecheka na nini tena?
Yani hizi ni fujo kwakweliHahaaa. Itakuwa aiseee.
Nacheka jinsi tunavyo hama hama rafiki. [emoji85]
Hahahaaa. Umeonaeee.Yani hizi ni fujo kwakweli
Nitakuja siku kukutembelea kkoo