Mtanzania Tajiri
JF-Expert Member
- Aug 31, 2024
- 376
- 379
Nani anakudanganya, CCM inawanachama 13.5M sasa hata kama CHADEMA wanasusia wanachama wa CCM ni nusu ya wapigakura wote , akidi ya Uchaguzi lazima itimieKwanini sasa mnaogopa uchaguzi?
CCM ilishaliza Uchaguzi kitambo sanaKwanini sasa mnaogopa uchaguzi?
Usipopata pesa wakati wa mama hupati mileleView attachment 3354322
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amefafanua kuwa biashara ya kuuza na kununua nje imekuwa Kwa zaidi ya 84% Kwa mujibu wa banki kuu BOT Kwa kipindi hiki kifupi kabisa cha mika minne (4)
Chini ya Utawala wa miaka hii minne ya Rais Samia Kafulila anasema "kubwa kabisa kwenye biashara ni kuchangamka na kuongezeka Kwa Kasi Kwa biashara ya kuuza na kununua nje"
Mkurugenzi huyo amenukuliwa na chombo hicho akisema kuwa wakati Rais Samia anaingia madarakani biashara ya kuuza na kununua nje ilikuwa na thamani ya dola za kimatekani bilioni 17 ($17bn) au Shilingi trillion 42 wakati Leo thamani ya biashara hiyo hiyo ya kuuza na kununua nje huduma na bidhaa imefikia dola za kimarekani bilioni 32 ($32bn) au Shilingi trillion 80 sawa na ongezeko la 84% karibu mara mbili,
Mkurugenzi David Kafulila anasema ongezeko hilo la biashara ya kuuza na kununua nje tayari limetengeneza ajira, Fedha za kigeni pamoja na kukuza vipato vya Mtanzania mmoja mmoja katika mnyonyororo huu wa ukuzaji wa thamani ya bidhaa zetu na biashara nje,
===

Tuzungumzie biashara,Kwanini sasa mnaogopa uchaguzi?
Tunaendelea na mafungo hapa Ufufuo na Uzima
Gwaji boiiiiiiiiii
Hata wamchukue mpaka Gwajima na Mpina tabu ipo pale paleCCM ilishaliza Uchaguzi kitambo sana
hata kabla ya No election No reforms
Sahihi kabisaTuzungumzie biashara,
FactUsipopata pesa wakati wa mama hupati milele
Njiti zinatengezwa Moshi Kibo MatchHuyo jamaa huwa naona chawa wake wanamsifia kwamba ni mchumi hodari, Sasa huo ni uchumi Gani anao preach wakati Hadi njiti za kiberiti tunanunua kutoka china
Mkuu Huwa naheshimu sana michango yako unadhani angeandikaje?Hio ina translate vipi kwa mbangaizaji wa Kitaa ?!!! Haya mambo ya kushusha manamba yasiyoeleweka nilishasema kitamba kwa kumwambia huyu huyu baada ya kuleta story za hata Ulaya sijui USA wanafanya....
Majibu ya hata Ulaya; USA wanafanya ni kupotoka (Statistics are like bikinis. What they reveal is suggestive, but what they conceal is vital.')
Tuliambiwa hata United Kingdom Bandari wamewapa watu.., ni kweli UK hata uzalishaji siku hizi hawafanyi kama zamani magari yao yote ni mali za wengine..., UK baada ya ukoloni kuisha ilijikita kwenye Service industry (pamoja na kuuzia watu silaha); ila muhimu kabisa walijikita kwenye Service ya...www.jamiiforums.com
Aliyesema hachezi ni CCM?😂Kwanini sasa mnaogopa uchaguzi?
Tunaendelea na mafungo hapa Ufufuo na Uzima
Gwaji boiiiiiiiiii
Ndio maana nimesema statistics are like Bikinis... (what they reveal is suggestive and what they conceal is vital)Mkuu Huwa naheshimu sana michango yako unadhani angeandikaje?
Huyu jamaa kila siku ni kusifia, hajatoka ha siku moja kwenye Television na kuelezea changamoto za watanzania katika viwanda na masokoMkuu Huwa naheshimu sana michango yako unadhani angeandikaje?
Wewe nini kinakuumiza?Baboon naye kazi kujiweka kimbelembele....
Mwishowe Gerson msigwa amekosa cha kuhabarisha....anatangiziwa potepote...
Kwanza hajainuka kuisemea serikali, tayari chawa fulani kamuwahi....