David Kafulila: Biashara ya Tanzania Kimataifa yaongezeka Kwa 84%

Nakuita mara 3 Kafulila
 
Uongo sana
 
David Kafulila tangu ameingia PPP iliyoanza tangu wakati wa JK mwaka 2009, lakn mabadiliko na mjadala wa PPP nikama vile imeanza na Kafulila. Mwamko wa Umma, Serikali na Sekta Binafsi sasa ni PPP ndio habari nzima.
 
Kwenye hili nakubaliana na wewe
 
Samia kama Samia
 
Samia fundi sana
 
Sawa ila lazima tuwe na mitaji ya kutosha
 
Kazi na utu
 
ni kweli biashara nje imekuwa sana ndio maana fedha za kigeni zimeongezeka kwenye hifadhi yetu
 
Sawa
 
Kazi na utu
 
Usipopata pesa wakati wa mama hupati milele
Wezi tuu na mafisadi ndio wana enjoy kwenye huu utawala...wanyonge na masikini hawamuelewi kbs huyo mama yenu pamoja na propaganda zenu zote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…