Habari Ndugu Kafulila,
Naomba unisaidie kufahamu, ni kwa nini ujenzi wa viwanja vya michezo ukianza na ule wa Arusha na sasa huu wa Dodoma haufanyiki kwa PPP?
Michezo ni biashara na hivyo sekta binafsi inapaswa kujenga miundo mbinu ikiwemo viwanja vya michezo na kuviendesha kibiashara, mbona hilo halifanyiki?
Asante.