Ni swali zuri japo Viwanja Kwa Sasa ni jambo la dharula sidhani kama sekta binafsi wanaweza kuwa tayari kwa muda huuHabari Ndugu Kafulila,
Naomba unisaidie kufahamu, ni kwa nini ujenzi wa viwanja vya michezo ukianza na ule wa Arusha na sasa huu wa Dodoma haufanyiki kwa PPP?
Michezo ni biashara na hivyo sekta binafsi inapaswa kujenga miundo mbinu ikiwemo viwanja vya michezo na kuviendesha kibiashara, mbona hilo halifanyiki?
Asante.
Kipi ambacho Kafulila amefanikisha zaidi ya utapeli tapeli tupu?Habari Ndugu Kafulila,
Naomba unisaidie kufahamu, ni kwa nini ujenzi wa viwanja vya michezo ukianza na ule wa Arusha na sasa huu wa Dodoma haufanyiki kwa PPP?
Michezo ni biashara na hivyo sekta binafsi inapaswa kujenga miundo mbinu ikiwemo viwanja vya michezo na kuviendesha kibiashara, mbona hilo halifanyiki?
Asante.
Majibu ya mtu mwenye utapiamlo kichwani..sera na kanuni zinapoandaliwa zinatoa excuse ya dharula..? ku-host fainali za Afcon ni dharula? Unaombaje wenyeji hali huna viwanja..? Si ujenge kwanza viwanja ndio uombe kuwa mwenyeji..Ni swali zuri japo Viwanja Kwa Sasa ni jambo la dharula sidhani kama sekta binafsi wanaweza kuwa tayari kwa muda huu