David Kafulila: Kwenye azimio la Dar es salaam, Rais Samia atatumia Tsh. Trilioni 33 kusambaza nishati safi ambapo Tsh. Trilioni 13 zitatoka PPP

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
1,381
Reaction score
1,600
===
Akihojiwa na kituo cha utangazaji Cha ITV kwenye kipindi ya DK 45 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amefafanua haya "Kuhusu mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kutumia Sh trilioni 33 sawa na $13bn kuwekeza kwenye nishati safi kati ya pesa hizo kiasi cha $5bn karibu TZS 13 Trilioni sawa 40% zitatoka sekta binafsi,PPP "

Kafulila amesema upatikanaji wa nishati safi kwa Watanzania hao 80% aliowalenga Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kutachochea maendeleo ya Viwanda na kupunguza gharama za uzalishaji na hivyo kuleta nafuu ya maisha kwa walaji wa mwisho ambao ni Wananchi,

Kafulila amesifu juhudi za Serikali ya awamu ya Sita ( 6 ) chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha Bwana la Mwl Nyerere (JNHPP) kwani limechochea upatikanaji wa Umeme wa uhakika na wa ziada na hivyo kufikia mwaka 2030 kwa kuingiza bajeti ya $13bn kama alivyoazimia Rais Samia Suluhu kwenye azimio la Dar es salaam Tanzania itakuwa na Umeme wa uhakika zaidi ifikapo mwaka 2030.

Sasa hebu Msikilize Kafulila wewe mwenyewe

===
Akihojiwa na kituo cha runinga Cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila amefafanua haya " "Kuhusu mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kutumia Sh trilioni 33 sawa na $13bn kuwekeza kwenye umeme $5bn karibu TZS 13 Trilioni sawa 40% zitatoka sekta binafsi,PPP.

Kafulila amesema upatikanaji wa Umeme na nishati safi kwa Watanzania hao 80% kutachochea maendeleo ya Viwanda na kupunguza gharama za uzalishaji na hivyo kuleta nafuu ya maisha kwa walaji wa mwisho ambao ni Wananchi,

Kafulila amesifu juhudi za Serikali ya awamu ya Sita ( 6 ) chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha Bwana la Mwl Nyerere (JNHPP) kwani limechochea upatikanaji wa Umeme wa ziada na hivyo kufikia 2030 kwa kuingiza bajeti ya $13bn Tanzania itakuwa na Umeme wa uhakika zaidi.

Msikilize hapa Kafulila mwenyewe

View attachment 3226422
Nitampigia kura Rais Samia Oct 2025
 
Kafulila lala brother tumechoka uchawa uchawa kafanye kazi
 
Rais Samia atatumia $13bn sawa na TZS 33Trilioni kusambaza nishati safi TZS 13Trilioni zitatoka PPP ?​

In the year ending May 2024, Tanzanian exports of goods and services increased by 15% to USD 14.5 billion. On the other hand, imports of goods and services decreased by 5.7% to USD 16.1 billion
1738801537154.jpeg

Source : BoT Benki Kuu ya Tanzania
 
Rais Samia atatumia $13bn sawa na TZS 33Trilioni kusambaza nishati safi TZS 13Trilioni zitatoka PPP ?​

In the year ending May 2024, Tanzanian exports of goods and services increased by 15% to USD 14.5 billion. On the other hand, imports of goods and services decreased by 5.7% to USD 16.1 billion
Hoja ni nini hapa mkuu?
 
Kafulila anazungumzia nishati tuwe na saluni za vinyozi nyingi, lini atazungumzia nishati ili kuwa na viwanda mama vya kuyeyusha chuma cha pua yaani heavy industry ili kuweza kupatikana viwanda vingine vingi vya uzalishaji wa kila aina ya bidhaa n.k
 
Hoja ya maana japo yeye alitolea mfano tu
 
===
Akihojiwa na kituo cha utangazaji Cha ITV kwenye kipindi ya DK 45 Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amefafanua haya "Kuhusu mpango wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kutumia Sh trilioni 33 sawa na $13bn kuwekeza kwenye nishati safi kati ya pesa hizo kiasi cha $5bn karibu TZS 13 Trilioni sawa 40% zitatoka sekta binafsi,PPP "

Kafulila amesema upatikanaji wa nishati safi kwa Watanzania hao 80% aliowalenga Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kutachochea maendeleo ya Viwanda na kupunguza gharama za uzalishaji na hivyo kuleta nafuu ya maisha kwa walaji wa mwisho ambao ni Wananchi,

Kafulila amesifu juhudi za Serikali ya awamu ya Sita ( 6 ) chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukamilisha Bwana la Mwl Nyerere (JNHPP) kwani limechochea upatikanaji wa Umeme wa uhakika na wa ziada na hivyo kufikia mwaka 2030 kwa kuingiza bajeti ya $13bn kama alivyoazimia Rais Samia Suluhu kwenye azimio la Dar es salaam Tanzania itakuwa na Umeme wa uhakika zaidi ifikapo mwaka 2030.

Sasa hebu Msikilize Kafulila wewe mwenyewe

View attachment 3226422
Namkubali sana Kafulila natamani na viongozi wengine wamuige
 
Back
Top Bottom