David Kafulila: Kwenye azimio la Dar es salaam, Rais Samia atatumia Tsh. Trilioni 33 kusambaza nishati safi ambapo Tsh. Trilioni 13 zitatoka PPP

Pumba tupu!
Maneno kila mtu anayo, utatoa wapi 33trn/-? Yaani madeni tuliyonayo mnapanga kukopa tena?
Hivi huyu jamaa ni mtu au ni mzimu umevaa koti?
 
Huyu sio raia lakini
 
 
Napenda hiki jamaa anafanya
 
Tanzania bado tuna kazi kubwa ya kufanya kuukabili Dunia
 
Mama Samia Mitano tena
 
Leteni mitungi huku Igwamadete miti inaisha
 
Wishful thinking maana hela nyingi ni za ahadi kutoka Kwa wahisani.

Ikumbukwe hata Ufransa wahisani waliajidi hela za Nishati safi wakati Rais Samia akitoka mada kama Mwenyekiti mwenza.

Tanesco wenyewe wanatakiwa kulinganisha watu mil.1.6 Kila mwaka ili.kufikia lengo la Kuwafikia watu Mil.8 by 2030.

Sasa Kwa trend ya Sasa ya kulinganisha watu 500k,unaona Hilo litwezekana kweli?
 
Chawa promax Kafulila
 
Watagawa mitungi ya kilo 9 tisa kisha watajipigia makofi wamesambaza nishati safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…