David Kafulila: Kwenye azimio la Dar es salaam, Rais Samia atatumia Tsh. Trilioni 33 kusambaza nishati safi ambapo Tsh. Trilioni 13 zitatoka PPP

Jambo la kupambana nalo hapa ni Upigaji tu, Mengine ya kawaida tu
 
Awamu ya Mama Samia pesa ipo kwelikweli ila hii Mikopo Taifa litasalimika?
 
Hii ni sawa kabisa miti inakwisha matokeo mvua zitagoma kabisa
 
Tunazisubiri hapa Mwamagembe
 
Ngoja tuone
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…