Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
Tanzania shippers Council Baraza la wasafirishaji shehena Tanzània limeandaa mjadala wa wazi wa kibiashara baina ya Serikali na sekta binafsi katika Ukumbi wa Peack Cock Hotel Jijini Dar es salaam siku ya jumanne tarehe 04. 03. 2025
Mgeni rasmi katika mjadala huo atakuwa Cde David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini kati ya Serikali na sekta binafsi ( PPPC )
Tukio hili linakuja siku chache baada ya Rais Samia kutamka kuwa mizigo yote ya Bandari ya Tanga kwenda nchi za Uganda, Rwanda, Burundi na Congo DRC zitapita katika barabara ya kulipia ya ( Toll Road ) itakayojengwa na sekta binafsi kwa mashirikiano na Serikali urefu wa km 340 Tanga -Singida.