David Kafulila mgeni rasmi Business Public-Private dialogue

Mwanahabari wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
1,588
Reaction score
956
Tanzania shippers Council Baraza la wasafirishaji shehena Tanzània limeandaa mjadala wa wazi wa kibiashara baina ya Serikali na sekta binafsi katika Ukumbi wa Peack Cock Hotel Jijini Dar es salaam siku ya jumanne tarehe 04. 03. 2025

Mgeni rasmi katika mjadala huo atakuwa Cde David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini kati ya Serikali na sekta binafsi ( PPPC )

Tukio hili linakuja siku chache baada ya Rais Samia kutamka kuwa mizigo yote ya Bandari ya Tanga kwenda nchi za Uganda, Rwanda, Burundi na Congo DRC zitapita katika barabara ya kulipia ya ( Toll Road ) itakayojengwa na sekta binafsi kwa mashirikiano na Serikali urefu wa km 340 Tanga -Singida.

 
Kitaasisi cha kitapeli kinachoongozwa na tapeli.
 
Zee la kusimamia michongo ya watawala
 
Kuna gharama yoyote? Na nikitaka kushiriki nafanya nini?
 
Lakini kila Taasisi inaanzishwa na Sheria na anayetunga Sheria ni Mbunge wako basi kama utapeli basi ulianza kwa Mbunge wako
Wabunge wa CCM hawana nguvu yoyote. Wameshawekewa kiroho mbaya Spika analinda mpaka mume wake mpiga madili ya EWURA.

Unategemea mbunge afanye nini, kwa hali hiyo na bado caucus za mavyama.
 
Check Usenge wa aina hii unavyotafuna Kenya
 

Attachments

  • FB_IMG_1740897287286.jpg
    71.8 KB · Views: 1
Tutakuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…