Financial Intelligence
JF-Expert Member
- Sep 29, 2023
- 293
- 518
Bavicha hamna hoja kabisa siku hizi,Hatimaye Kafulila kafikiwa na msomali
Ujinga sio huu ila wako kumshangilia Gwajima na Simba au yanga,Akili ikishahamia tu tumboni, utatetea hata ujinga.
Anatetea nchi yakeHuyu jamaa kajitoa ufahamu kwa yezebeli
Bavicha makasiriko ya nini?Akili ikishahamia tu tumboni, utatetea hata ujinga.
Ndio ilivyoUnapozungumzia umwagiliaji , usituletee wale watu wanaolima karibu na maziwa au mito ambao huenda kuchota maji kwa ndoo na kumwagilia mazao yao .Huko nadhani tumetoka kitambo .Je Tanzania kuna mashine za kutosha za umwagiliaji kwenye mashamba yetu.Watu wanalima mazao ya kutosha na kusafirisha nje
Ziko wapi mbona hatuzioni? Acheni uzombiKAFULILA: MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne ( 4 ) tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru December 1961.
Mkurugenzi David Kafulila anasema kilimo kinategemewa na zaidi ya 60% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.
Kafulila anaendelea Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika ambacho hakitategemea mvua lakini tulishindwa ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo ya watu.
==
Wewe uko wapi?Ziko wapi mbona hatuzioni? Acheni uzombi
HUYU TUMBILI NI CHAWA, ASALI TAMUU JAMANIKAFULILA: MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne ( 4 ) tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru December 1961.
Mkurugenzi David Kafulila anasema kilimo kinategemewa na zaidi ya 60% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.
Kafulila anaendelea Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika ambacho hakitategemea mvua lakini tulishindwa ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo ya watu.
==
Ukimuamini huyu, ni sawa na kumuamini Magufuli aliyesema tumejenga viwanda zaidi ya elfu 4; ni sawa na kumuamini Jafo aliesema tumejenga viwanda elfu 28; ni sawa na kuwaamini waliosema DpWorld akiendesha ile bandari, itazalisha mapato zaidi ya β ya bajeti, ni sawa na kuwaamini wale waliosema gesi ya Mtwara ingezalisha umeme kukidhi mahitaji ya nchi na kuuza ziada; ni sawa na kuwasmini waliosema lile bwawa likianza uzslishaji tutauza umme nje; nu sawa na kumwamini aliesema rais ni mzima anachapa kazi, ni sawa na kumuamini naesema sasa tuna tume huru ya uchaguzi na uchaguzi wa 2025 utakuwa huru na wa haki. Nk, nk.View attachment 3354624
KAFULILA: MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amefafanua kuwa Tanzania tangu iwe huru ilifanikiwa kuwa na hekta laki tano ( 500,000 ) kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji, Lakini maajabu ni miaka hii minne ( 4 ) tu ya Rais Samia hekta hizi zimeongezeka na kufikia hekta laki tisa ( 900,000 ) ikiwa ni sawa na ongezeko la hekta mpya laki nne ( 400,000 ) ambazo ni karibu sawa na ongezeko la 50% ya kilichofanyika tangu tupate uhuru December 1961.
Mkurugenzi David Kafulila anasema kilimo kinategemewa na zaidi ya 60% ya Watanzania hivyo kitendo cha Rais Samia kuwekeza zaidi kwenye kilimo kitasaidia kupunguza umasikini hasa vijijini na mijini.
Kafulila anaendelea Kwa kusema siku zote na kwa miaka mingi Tanzania tumezungumzia kuwa na kilimo cha uhakika ambacho hakitategemea mvua lakini tulishindwa ila wakati huu wa Rais Samia Suluhu Hassan Serikali imevunja rekodi na hii inatafsiri pana ya maisha ya kijamii hususani kwenye maendeleo ya watu.
==
Ndio habari kama ile ya viwanda 80,000 vimejengwaZiko wapi mbona hatuzioni? Acheni uzombi
Hutaki kuambiwa ukweli!Bavicha makasiriko ya nini?
ππLabda kumwagilia moyo
Safi sana Rais SamiaKAFULILA: MIAKA 60 HEKTA 500,000 MIAKA 4 HEKTA 400,000, RAIS SAMIA HEKO